Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

"Bia baridiii kama barafu"...in Ephraim Kibonde's voice
 
Sio lazima uende sehemu moja kila siku
Kama mtu wa mazoezi hili linajulikana
Kama uko karibu na bahari ni sehemu nzuri ya kupumzika
Kama kuna sehemu ya kukutana na marafiki kama hotel pia sio njia mbaya ya kukutana

Sio kuwa napingana na wanywaji wa pombe la hasha kwani kila mmoja anaamua sehemu ya kupumzika
Ila mimi sio mnywaji wa pombe na mda mwingine wa kupumzika ninakuwa nyumbani

Ila mwanaume wa kukaa sana nyumbani naye anachosha sana mkuu! Ni kma mwanamke wa kukaa ndani tu hana idea hata kidg anavyochosha naye!
Raha ya mwanaume unasafir kiasi..hukai sana hom unakaa ndani mwishow utaanza fanana na sebule yako🤭!
Mimi napenda mwanaume anayerudi sa1,2 amebeba zawadi na mahitaj ya hom! Sio unarudi mamikono matupu na lilaptop lako hata kubeba tikiti tu huwezi🤭!
Yaani uwe na mishe mishe nyingi nyingi ukifika ukioga ule ulale usisumbue mkeo🤸‍♂️🤸‍♂️! Mwanaume anayeshinda shinda hom bas hakawii kunanii! Ah natania tu rafiki angu!
Nataniaa
 
Ha ha ha ha utani wenye ukweli ndani yake.

Anawabana huwezi hata kuteta umbea na jilani[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila mwanaume wa kukaa sana nyumbani naye anachosha sana mkuu! Ni kma mwanamke wa kukaa ndani tu hana idea hata kidg anavyochosha naye!
Raha ya mwanaume unasafir kiasi..hukai sana hom unakaa ndani mwishow utaanza fanana na sebule yako[emoji2960]!
Mimi napenda mwanaume anayerudi sa1,2 amebeba zawadi na mahitaj ya hom! Sio unarudi mamikono matupu na lilaptop lako hata kubeba tikiti tu huwezi[emoji2960]!
Yaani uwe na mishe mishe nyingi nyingi ukifika ukioga ule ulale usisumbue mkeo[emoji2223][emoji2223]! Mwanaume anayeshinda shinda hom bas hakawii kunanii! Ah natania tu rafiki angu!
Nataniaa
 
"Bia baridiii kama barafu"...in Ephreim Kibonde's voice
Alikuwa anasema Mbiguni hakuna Bia hivyo tujitahid kunywa tukiwa bado dunian[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Habari ya leo wakuu.

Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.

Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.

Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.

Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.

Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.

Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.

Pia kundi hili lina umoja.

Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.

Uzuri wa maeneo ya bar.

Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
Nakukaribisha uunge mkoni juhudi za furaha za kundi hili.
 
Umechelewa kujua.safari lager
IMG_20210527_161722.jpg
IMG_20210527_102316.jpg
IMG_20210527_083612.jpg
 
Habari ya leo wakuu.

Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.

Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.

Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.

Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.

Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.

Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.

Pia kundi hili lina umoja.

Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.

Uzuri wa maeneo ya bar.

Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
Utawaonea huruma asubuhi yake wanavokuwa wagonjwa kabisa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Ila mwanaume wa kukaa sana nyumbani naye anachosha sana mkuu! Ni kma mwanamke wa kukaa ndani tu hana idea hata kidg anavyochosha naye!
Raha ya mwanaume unasafir kiasi..hukai sana hom unakaa ndani mwishow utaanza fanana na sebule yako[emoji2960]!
Mimi napenda mwanaume anayerudi sa1,2 amebeba zawadi na mahitaj ya hom! Sio unarudi mamikono matupu na lilaptop lako hata kubeba tikiti tu huwezi[emoji2960]!
Yaani uwe na mishe mishe nyingi nyingi ukifika ukioga ule ulale usisumbue mkeo[emoji2223][emoji2223]! Mwanaume anayeshinda shinda hom bas hakawii kunanii! Ah natania tu rafiki angu!
Nataniaa

Sasa huyo anaekaa nyumbani kila siku basi ni mlinzi alieajiriwa [emoji23][emoji23]

Hata mimi siwezi kaa ndani maana ni mtu wa kazi siku 6
Nyumbani kuniona ni nadra sana
Huyo anaekaa tu basi hafai kabisa hata kama hana kazi haemdi hata kwa washkaji?
Ila sio Pub all day
 
Back
Top Bottom