Nahisi yule hakua mtu wa kawaida bali malaika

 
Mimi ni Mungu, na nakuagiza kama usipokuwa malaika na kutoa hiyo fursa kwa wenzako wa Jf kama ambavyo nilimtuma malaika wangu akupe hiyo fursa...nakuhakikishia utafirisika mwaka huu
Tatizo wabongo wakijua kitu kila mtu atataka afanye mwishowe wote mnadoda
 
Nimeishia njiani, mkiwa mnaleta visa virefu mjitahidi kusamaraizi.!!
Wewe huna tofauti na yule mdada aliekuwa anamfukuza yule muokota makopo.
Kastory kafupi kabisa hako kanakutia uvuvi. Lakini ajabu kutwa nakuona ukiusubiria ule uzi mrefu wa kukutana na dada huyu mrembo, kwenye biashara ya ubber.
Kuna sumary nyingine ndogo zaidi ya ufupisho aliofanya hapo?. Sumary zaidi ya hapo isingeeleweka
 
Halafu ile story sijawahi kuifatilia huwezi amini.!!
Ile story nilikuwa natagiwa sana na rafiki zangu so nikaona sio mbaya kuwasupport kwa kujifanya nafatiliaโ€ฆ. Ila kiuhalisia nilikuwa natambaa na beat lao vile wanavyocomment ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Haaah...! Acha uvivu bwana...! Sasa humo kwenye simu kila wakati uko nayo unaperuz huwa unasomaga nini sasa?. Au ndio wewe comments ziwe fupi fupi?
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Haaah...! Acha uvivu bwana...! Sasa humo kwenye simu kila wakati uko nayo unaperuz huwa unasomaga nini sasa?. Au ndio wewe comments ziwe fupi fupi?
Kuna member huwa ananivutia sana mitazamo yake huyu sijawahi kuchoka kumsoma sijui ni aina ya uandishi wake na anavyopiga zile punchline zake ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wako watatu hawa watu hata niwakute wameandika gazeti nitajitahidi niwasome mpk nukta, napenda sana uwasilisishaji wao
Kiranga Infropreneur Nyani Ngabu hawa mabro mimi ni die fan wao na wana ngeli tamu sana sijui sababu kukaa sana abroad kumechangia.!!
 
Hawa wako USA huko nafikiri. Kuishi huko kunakupa mambo mengi duniani. Huko kuna utajiri mkubwa wa fikra. Huko unaweza kuwa masikini lakini ukawa na furaha ,ksbb unayoyajua kuhusu dunia yanakupa amani ya moyo. Pia ni sahihi kila mtu ana kile akipendacho.

Pia Katika wanawake 10 wa jf wakiulizwa anaewavutia humu,wanawake 9 watajaa kwa Nyani ngabu. Wanawake 7 watajaa kwa mshana jr. Wanawake 2 wataingizwa kwa kiranga. Na sababu kubwa ni mpinga uwepo wa MUNGU.
Pia kuna watu wengine humu wana uwasirishaji mzuri sana. Kama yule wa how I met my wife. Hata hiyo ya insider man anajua. Lakini muhimu kipendacho roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ