Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Mmh , anasema ana 20+ halafu id yake ni Bi hadija

I can smell something here...
 
Mkuu usmkatishe tamaa bana amesema anataka just a friend angekuwa mpenzi ingekuwa ngumu kizuri ni kuwa rafiki wa mtandaoni si lazima muonane mnaweza kufake life na kuishi vile rafiki yako atakavyo na mkafurahia maisha
 
Kama una chura umenipata ila kwa urafiki tu sitaki zaidi..!
 
Mkuu usmkatishe tamaa bana amesema anataka just a friend angekuwa mpenzi ingekuwa ngumu kizuri ni kuwa rafiki wa mtandaoni si lazima muonane mnaweza kufake life na kuishi vile rafiki yako atakavyo na mkafurahia maisha
Mkuu mimi ni mtu mzima ,najua hitaji la Bi khadija ingawaje kazunguka.
 
Unatumia kinywaji gani mkuu?[emoji3][emoji3]
 
Nahitimisha kwa kusema Hakuna Binadamu Alie Kamilika pia Ni Ngumu Kupata Sifa Zote Uzitakazo Kwa Mtu Mmoja. nikiwa Na Maana Kwamba Unaweza Kumpata Mcheshi Ila Ni Mwizi, Ukamkuta Mwenye Elimu Zake Na Pesa Juu Ila hapendi Masihara Kutwa Ni Mtu Wa Sura Mbuzi.

Nb. Ukikuwa Utaacha.
 
UKIKUWA 😳😳 = UKIKUA.

 
MNANCHOKOZA HALAFU MNATOLEANA POVU LA NINI 😑😑😑😑
TUWAACHE ALIOWA-TAG HALAFU................MDOGOMDOGO
TUNASOMA COMMENTS KIMYAKIMYA😎😎😎😎
 
Natamani haya mawazo yako yawafikie wanawake wote duniani. Utakuwa mtu makini sana.
 
Eti kuna mwanajf humu ndani anayetishia watu kuwatukana acha unafiki hapo wewe mwenyewe huna sifa yeyote wala nini kazi kujishaua tu uonekane wa muhimu.
Humu utatafuta sana utaliwa sana mwisho wake wanaume hawatafutwi na risala wanaume wanaume wanakuja wenyewe.
Kama mzuri sana ungeolewa 18 ila wewe ni umiza kichwa tu kama wengine.
 
Hata Huyo rafiki yako utakayempata basi awe na moyo wa ziada. Maana sidhani kama unashaurika
 
Chukua embassy au portsman anza kuvuta nakuja kulipia mimi mwenyewe....nikichelewa vuta Balimi Gharama juu yangu..POINT kubwa.
Mkuu situmii kabisa hayo mambo!! Marijuana nayo nimestaafu mwaka wa pili sasa!! Labda bavaria, nitagida jioni baada ya futari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…