Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Kwahiyo ukijipima ukaona unatosha, unatakiwa kufanyaje ili urafiki uendelee kustawi.
 
Mh sijatajwa sifahamiki hapa
 
Du mwanaume mwenye mchanganyiko wa tabia hizo utampata wapi

Labda uende jukwaa la siasa
 
Nyoko ww, au ndo umepigwa mashine na gwajima
 

You sound genuine. Mungu Jehovah akufunulie na kukupa mume bora na si boyfriend tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…