Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 982
Umeokoka hutaki nyumba ndogo, ila kutoa rushwa unataka.Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi wa sita unaenda ukiisha bila uelekeo wowote, ni kama vile tumepigwa chenga ya mwili.
Niliamini kwamba angetendewa haki ya kufikiriwa uhamisho kwani alikuwa na vigezo vyote sitahiki lakini naona ni kama hili suala halitafanikiwa.
Hivo natangaza kama kuna anayeweza kunipatia connection ya kufanikisha jambo hili. Naomba kupata mtu serious wa kunifanikishia hili suala likakamilika, maana nimechoka na hizi sarakasi za yeye kwenda halmashauri kila siku.
Dau lipo kama unaweza kusaidia njoo DM
Machakani ndiyo wapi, mlokole gani una lugha chafu hivyo?Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi wa sita unaenda ukiisha bila uelekeo wowote, ni kama vile tumepigwa chenga ya mwili.
Niliamini kwamba angetendewa haki ya kufikiriwa uhamisho kwani alikuwa na vigezo vyote sitahiki lakini naona ni kama hili suala halitafanikiwa.
Hivo natangaza kama kuna anayeweza kunipatia connection ya kufanikisha jambo hili. Naomba kupata mtu serious wa kunifanikishia hili suala likakamilika, maana nimechoka na hizi sarakasi za yeye kwenda halmashauri kila siku.
Dau lipo kama unaweza kusaidia njoo DM
Mlokole anatoa corruption?Unatoa sh ngp?? Usije sema dau kumbe huelewi maana ya dau
hujaishi kitaa nini?Machakani ndiyo wapi, mlokole gani una lugha chafu hivyo?
Inabidi maana ndo mfumo wa maisha unavyotaka, yaani wanangu waendelee kuteseka na wana babaUmeokoka hutaki nyumba ndogo, ila kutoa rushwa unataka.
1+1=3-1, dhambi ni dhambi mura
Inabidi saa nyingine, infact siichukulii la rushwa ni kama pesa ya kufuta jasho la atakayefanikisha na simuumizi mtuMlokole anatoa corruption?
Hata kule hutamuumiza mtuInabidi saa nyingine, infact siichukulii la rushwa ni kama pesa ya kufuta jasho la atakayefanikisha na simuumizi mtu
Nimeku follow njoo inbox tuongeeFanya hivi nitumie namba zake na details zingine. Malipo baada ya kufanikisha. Usinitapeli uwe mkweli. Hilo jambo dogo sana
Hahaha haya banaSubiri tumfaidi kwanza.we endelea kukaa mjini na ulokole wako
Lets talk mkuu.. njoo inboxUnatoa sh ngp?? Usije sema dau kumbe huelewi maana ya dau
Rushwa ni dhambi ndugu yangu, umeokoka ila unahalalisha rushwa! Utaendaje mbinguni?Ndo mahali tulipofikishwa kaka, sasa unafanyaje, hakuna namna itabidi tu iwe hivo, sio kwamba napenda kutoa bali nawahurumia wanangu
Naangalia maslahi mapana, je ni vibaya kujitoa kwaajili ya haki za wanao?Rushwa ni dhambi ndugu yangu, umeokoka ila unahalalisha rushwa! Utaendaje mbinguni?
Nakuelewa sana ndugu nilipitia hiyo changamoto ya kuishi mbali na familia kidogo nipate uchizi. Nashukuru kwa sasa nipo na familia.Kabla ya kuwa na watoto sikuwahi kujua uchungu wa kuona mwanao akiteseka kwa kuishi mbali, ndo naelewa sasa. Ni nateso aise
Pamoja mkuu ulitumia mbinu ganNakuelewa sana ndugu nilipitia hiyo changamoto ya kuishi mbali na familia kidogo nipate uchizi. Nashukuru kwa sasa nipo na familia.
Ni raha sana kulea watoto
Mungu akufanyie wepesi
Nilimtafutia kazi sehemu nyingine ingawa alikotoka maslahi yalikua mazuri sanaPamoja mkuu ulitumia mbinu gan