Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #41
Kabisa mkuuH
Huu siyo ushauri aliyo omba.
Ameomba jina la dawa.
Msichujue majukumu ya wazazi wake na viongozi wake wa dini.
Mtajie dawa mwambie na madhara yake inatosha.
Vipi mkuu hiyo erector. Inaleta matokeo baada ya mda Gani ukinywaChukua mkongo ndio komesha. Ila hakikisha presha ipo sawa, kama hujijui pima kwanza. Usitumia erector bila kujua presha yako, utakufa
Angalia usije tapika wewe mdau.Kuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
MWAROBAINIHawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Kama ni GT atakuelewaUlimpa kwa ridhaa yako, hakukunyang'anya, ni uboya wako kutoa pesa hovyo.
Na utazikumbuka kizo pesa, kumkaza sana hakuondoi ukweli kwamba umezidi kuufanya uzee wako uwe mgumu(najua hutanielewa)
Mkuu Football umesoma hii?tadalafil vs viagra:
Tadalafil (Cialis) and sildenafil (Viagra) are both highly effective PDE5 inhibitors for erectile dysfunction, with similar safety profiles. The primary differences are duration and timing: Tadalafil lasts up to 36 hours and can be taken daily, while Sildenafil works for 4–6 hours, typically taken 30–60 minutes before activity.
Key Comparisons:
Duration: Tadalafil (36 hours) vs. Sildenafil (4–6 hours).
Onset: Sildenafil usually works faster (30–60 mins) than Tadalafil (1–2 hours).
Usage: Tadalafil can be taken as needed or daily; Sildenafil is usually taken only as needed.
Food Impact: A fatty meal can delay Sildenafil, whereas Tadalafil is less affected.
Side Effects: Both may cause headaches and flushing. Tadalafil is more likely to cause back/muscle aches, while Sildenafil may cause temporary, slight blue-tinted vision.
Which to Choose?
Tadalafil (Cialis): Best for spontaneity, allowing for activity over a longer period (often called "the weekend pill").
Sildenafil (Viagra): Best for planned sexual activity due to its faster onset and shorter duration.
Both medications require a prescription and can interact with heart/blood pressure medications.
Vizuri ukitumia baada ya ushauri wa daktari. Hasa kama una shida ya presha ya damu au shida ya uume kukunja pembeni yaani kuelekea upande ukisimamisha.
Unamaanisha unataka umchubue? maana hamna namna nyingine ya kumkomoa hapo. Kwenye kuchubuana kuna madhara mengi kwake na kwako pia naamini umeshakubaliana nayo. Okay dawa inaitwa sildenafil...wingi wa mg inategemeana na uzito, hali ya moyo wako nk...kama moyo hauko sawa usishangae tukakuona kwenye ITVKuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Utapata gono bure plus U.T.I na kifungashio AIDS nunua viagra famasi zipoKuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Tadalafil au Cialis inakaa masaa mengi hadi siku mbili.Tatizo lugha mkuu
Kawaambie nataka ViagraKuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Kwa siku 1 yenye masaa 24 ya siku inawezekana kabisa, ni suala la maamuzi tu itapigwa miwa mpaka aombe UJI maliiiiiiiza ********' hamalizi mtu hapa mpaka usema nimechoooooka maliiiiiiza basi eehIshu ni kwamba huwezi ikomoa punani.
Sawa mkuu inachukua mda Gani kufanya kazi baada ya kuinywaTadalafil au Cialis inakaa masaa mengi hadi siku mbili.
Sildenafil au Viagra inakaa masaa machache.
Kwa kazi yako tumia Viagra.
Zingatia ushauri wa daktari hasa kama unatatizo la presha kupanda.
Au uume wako unapinda pembeni ukisimama.