Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clorine itamaliza hilo tatizoWataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
Clorine itamaliza hilo tatizoWataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
Chumvi ni sodium chloride(maana yake Kuna chlorine) Kisha unaongeza chlorine. Unajua matokeo yake?Clorine itamaliza hilo tatizo
Mkoa Kusini MagharibiUko mkoa gani?
😃 Uo mkoa siujui mbonaMkoa Kusini Magharibi
Huku Kizimkazi nyumbani kwa mama[emoji2] Uo mkoa siujui mbona
Chlorine inaondoa pathogens kwenye majiClorine itamaliza hilo tatizo
Mifupa inaondoa fluoride peke ake haiondei hardness (ndio chumvi)Kuna mradi kule Arusha wilaya ya Arumeru wanaondoa chumvi na fluoride inayotia rangi meno kwa kutumia mifupa ya ng'ombe,watafute.
Desalination ni kwa maji ya bahari na ni very expensive kama ulivosemaDesalination ni process ya kuondoka chumvi kwenye maji, japo ni process expensive lakini ndio inayotumika na mataifa yenye uhaba wa maji mfano Saudi Arabia. Hugeuza maji ya baharini kuwa maji yanayofaa kwa matumizi ya binadamu.
Njia zinazotumika:
1. Maji kuchemshwa na mvuke kupoozwa na kuwa maji yaliyokuwa safi na salama, Kisha kusambazwa kwa ajili ya matumizi.
2. Maji kupitishwa kwenye membrane (kiwambo kama sponji) kwa ajili ya kunyonya chumvi iliyoko kwenye maji, maji safi huhifadhiwa na kusambazwa kwa matumizi. Maji machafu yenye high concentration of salt hurudishwa baharini.
Hivyo kiujumla sio rahisi kutoa chumvi kwenye maji ila kwa kupitia njia hizo ambazo ni very expensive.
Ahaaa! Kama ni huko mama atashughulikia chap, anasomaga komenti.Huku Kizimkazi nyumbani kwa mama