Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Don't get too personal.Huyu jamaa wa kuitwa Mshana Jr ni Bure kabisa,Kila kitu anakijua ila Kwa wenye uelewa mkubwa tulishamshitukia,Hana analolijua ,ni mweupe kabisa,sijajua kiwango Chake Cha elimu,maana njia aliyoitoa ni SoMo la chemistry kidato Cha kwanza.
Kwa mtu yeyote aliyekomea japo kdato Cha pili lazima atajua hii kitu siyo
Kama amekosea, si unmsahihisha tu? Yanini kumkandia mtu namna hiyo?