Nahitaji dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji

Sidhani kama kuna kitu cha kutia mara moja kwenye kisima ili kuondoa chumvi, kwa sababu maji ya chini ya ardhi kuwa na chumvi huo ni mchakato wa asili, hivyo maji ya kisima huwa na chumvi kutokana na jografia ya eneo husika(aina miamba/kuwa karibu na mwambao wa bahari/sababu nyingine..)

Mchakato wa kuondosha chumvi kwenye maji, ni kwa maji yenyewe baada ya kutoka kisimani, ila sio kwa kisima na maji yaliyomo maana huko ni kupingana na jografia, kitu ambacho ni muhali.

Hivyo zipo njia za kutumia vifaa maalumu ili kuyachuja maji kuondosha chumvi.
 
Watabe wa hizo kazi ndio mtuelezee sasa, hizo njia ni zipi na gharama zake zipoje?
 
Chumvi ni sodium chloride(maana yake Kuna chlorine) Kisha unaongeza chlorine. Unajua matokeo yake?
Huyu jamaa wa kuitwa Mshana Jr ni Bure kabisa,Kila kitu anakijua ila Kwa wenye uelewa mkubwa tulishamshitukia,Hana analolijua ,ni mweupe kabisa,sijajua kiwango Chake Cha elimu,maana njia aliyoitoa ni SoMo la chemistry kidato Cha kwanza.

Kwa mtu yeyote aliyekomea japo kdato Cha pili lazima atajua hii kitu siyo
 
Wewe ndo umenena, nyingine bla bla tu, ila ongeza nyama kdogo
 
Kwahyo kuna njia za kuondoa chumvi maji yakiwa kwenye tank?
 
Tabu yoote hii ya nini. Si utafute maji yasiyo na chumvi.
CHumvu hiyo ni asil ya majinya hiko kisima na probably ni kwakua umetoboa mwamba...
HUwezi ondoa chumvi kwenye maji ambayo ni chumvi toka kwenye source
 
Jambo Gumu Hata Serikali Dodoma Ilakula/Inakunywa Ya Chumvi Toka Mzakwe
 
Kwahyo kuna njia za kuondoa chumvi maji yakiwa kwenye tank?
Ndio unayaunganisha na mfumo wa kuyachuja( filter/ membrane) ambapo mara nyingi huwa ni mashine ndogo au kubwa kulingana na matumizi

Unaweza ukwa mfumo kama huu
 

Attachments

  • images (19).jpeg
    7.2 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…