Huyu jamaa wa kuitwa
Mshana Jr ni Bure kabisa,Kila kitu anakijua ila Kwa wenye uelewa mkubwa tulishamshitukia,Hana analolijua ,ni mweupe kabisa,sijajua kiwango Chake Cha elimu,maana njia aliyoitoa ni SoMo la chemistry kidato Cha kwanza.
Kwa mtu yeyote aliyekomea japo kdato Cha pili lazima atajua hii kitu siyo