Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Punguza ngono chief..ni kitovu cha ujinga...kufanya ngono sana kunapunguza weledi na umakiniPamoja na kutafuta ajira ila pia najishughulisha na vibarua vidogo vidogo mtaani, kama una connection ya kazi yoyote halali tusaidiane mkuu