Nahitaji Dawa ya kuzuia kuongea au kumjibu mke wangu

Nahitaji Dawa ya kuzuia kuongea au kumjibu mke wangu

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,799
Reaction score
8,486
Mwanamke amekuwa kiumbe cha ajabu hasa hawa wa kipindi hiki.

Ndugu zangu mnisaidie, sasa nadhani inakuwa ngumu sana kumridhisha. Mke anataka mitazamo yake tuu (yaani uwaze vile anawaza na uwe na majibu ya husika ya hisia zake)

Aulze swali akiwa na tegemeo jibu ni lake alilokuwa nalo kichwani ndio ujibu hivyo hivyo. Mbaya zaidi swali ukianza kujadiliana; sababu katika swali lake aliuliza kwa sababu moja ila ikatokea mmeingia katika mjadala anakuja na sababu 100 hadi unashangaa wakati mwanzoni alikuuliza na sababu moja.

Huyo ni mwanamke alikuwa na diploma yake na yuko floor ya 3+

Wengine mtasema simshoni, ila namshona vizuri na kwenye mchezo yeye ndio anaomba Poo!

NB:-
Wanaume wengi kurudi nyumbani usiku/kutokupumzika nyumbani kukaa vijiweni na kutumia vileo zaidi wengine kutumia vileo kupitiliza wanawake/wake zao wana mchango mkubwa katika hili.

Ni hawa viumbe ukipatia mambo 10 kwa usahihi limoja linakawa na kasoro ya kawaida ni maneno wiki nzima.

Kusema wameumbiwa, kuona mabaya na kuyatunza!

W-T-F
Tired
 
Mwanamke amekuwa kiumbe cha ajabu hasawa hawa wa kipind hiki , Ndugu zangu mnisaidie sasa nazan inakuw ngumu sana kam kumridhisha mke katak mtazamo (yaan uwaze vile anazan) aulze swali akiwa nategemeo jibu ni lake mbaya Zaidi swali ukianza kujadiliana sababu inabid atoe moja anakuja na sababu 100 wakat mwanzon alikuulz na sababu moja


Tired
Punyetoo
 
Pole lakini ni kawaida sana, sema we umemtilia maanani sana! Unajali kila analosema.. yani huyo kachanganyikiwa na hajui anataka nini, usijali mpuuzie sio kila jambo unalibeba!

Kama na ww ni muongeaji sana! Akianza kuongea na hutaki kumjibu tia maji mdomoni usiyameze mpaka amalize kuongea upupu wote.. akimaliza relax tu atachoka ataacha!
 
NB:-
Wanaume wengi kurudi nyumban usiku/kutokupumzk nyumbn kukaa vijiwen na kutumia vileo zaid wengine kutumia vileo kuptiliza wanawake/wake zao wanamchango mkubwa katika hili
Hii topic hainihusu mimi hususani hapo uliposema kutumia vilevi/vileo mimi situmii kilevi/kileo chochote kwa hio mada hii hainihusu..
 
Pole lakini ni kawaida sana, sema we umemtilia maanani sana! Unajali kila analosema.. yani huyo kachanganyikiwa na hajui anataka nini, usijali mpuuzie sio kila jambo unalibeba!

Kama na ww ni muongeaji sana! Akianza kuongea na hutaki kumjibu tia maji mdomoni usiyameze mpaka amalize kuongea upupu wote.. akimaliza relax tu atachoka ataacha!
Saw mkuu huyu dawa ni kumpuza katika kauli zake na hata nisisemeshane nae ,
 
Back
Top Bottom