Mwanamke amekuwa kiumbe cha ajabu hasa hawa wa kipindi hiki.
Ndugu zangu mnisaidie, sasa nadhani inakuwa ngumu sana kumridhisha. Mke anataka mitazamo yake tuu (yaani uwaze vile anawaza na uwe na majibu ya husika ya hisia zake)
Aulze swali akiwa na tegemeo jibu ni lake alilokuwa nalo kichwani ndio ujibu hivyo hivyo. Mbaya zaidi swali ukianza kujadiliana; sababu katika swali lake aliuliza kwa sababu moja ila ikatokea mmeingia katika mjadala anakuja na sababu 100 hadi unashangaa wakati mwanzoni alikuuliza na sababu moja.
Huyo ni mwanamke alikuwa na diploma yake na yuko floor ya 3+
Wengine mtasema simshoni, ila namshona vizuri na kwenye mchezo yeye ndio anaomba Poo!
NB:-
Wanaume wengi kurudi nyumbani usiku/kutokupumzika nyumbani kukaa vijiweni na kutumia vileo zaidi wengine kutumia vileo kupitiliza wanawake/wake zao wana mchango mkubwa katika hili.
Ni hawa viumbe ukipatia mambo 10 kwa usahihi limoja linakawa na kasoro ya kawaida ni maneno wiki nzima.
Kusema wameumbiwa, kuona mabaya na kuyatunza!
W-T-F
Tired