Nahitaji Dawa ya kuzuia kuongea au kumjibu mke wangu

Nahitaji Dawa ya kuzuia kuongea au kumjibu mke wangu

Hili nalo la kuleta humu?? Mambo mengine mnayakuza sasa, Lol.

Hapo si unakua kimya tyuu, yeye anabwataaa, akichoka anaacha mwenyewe, unless nawee unapenda Zogo.
Khaaaah
 
Mimi alikua akianza kuongea,naondoka alipo na kama muda unaruhu natoka nje ya home,baadae akawa anaogopa kunisema anajua huyu ataondoka
 
Hili nalo la kuleta humu?? Mambo mengine mnayakuza sasa, Lol.

Hapo si unakua kimya tyuu, yeye anabwataaa, akichoka anaacha mwenyewe, unless nawee unapenda Zogo.
Khaaaah
Nawe ni wale wale sasa . Ngoja nikae kimyah
 
Mimi hayo mambo yao nishapiga stop , afu useongee sana na mke wako ukitoka job pitia kijiweni rudi usiku unakuta kashalala mambo fresh afu unadamka mapema sana huyo
 
Mkuu hapo inaonyesha wazi mazoea ya kujenga mijadala ulisha mjengea na yeye akajijenga ndio mwenye kiti wa kikao chenu kwakuwa ulishampa mamlaka ya upendo kwakupitisha Hoja zake Bila kupinga ili kujionyesha una mapenzi ya dhati kwake. Anyway ishu ya mahusiano inajikita kwenye tabia eidha kwa kuzaliwa au kuiga kwa watu waje wa karibu na huyo amesha tambua madhaifu yako inamaana ulisha mpa gape ambalo ndio linakutoa udhaifu Leo hii.
Nini inatakiwa ufanye sasa.
1. Punguza mwanya kumuhusisha swala lolote ambalo unahis litaleta migogoro baina yenu.
2. Muweke pemben kujadili mambo yoyote yatakayo fanya kujuvunjia heshima.
3. Hakikisha unasimamia uanaume wako kwenye mambo ya msingi Bila kujari udhaifu wako kwakwe
4. Jifunze kukaa kimya hata kama mpo kwenye Amani yaan tengeneza mabadiriko ya haraka ili kumpa mwanya wa kujitafakari kwamba umepatwa na nini.
5. Onyesha mabadiriko ya muda Bila kujari atayapokeaje inamaana kama umezoea kurudi saa mbili rudi saa Sita hrf usiongee lolote wala Kuuliza lolote.
6. Hakikisha kila kitu kinapatikana kwa wakati na ikitokea umechelewa kurudi au umewahi usiulize kuhusu chakula kama kaweka au hajapika ingia jikoni pika Bila kuhoji.
7. Hakikisha humalizi wiki Bila kukaa na Familia na unapoongea na Familia wape kipaumbele watoto kwa kutoa elimu ya malezi na nidhamu ikiwa na malengo ya kumfundisha mke wako nidhamu na kukaa kimya.
8. Mpigie mkwala kwakumtuhumu makosa ambayo hajafanya na kumsamehe kirahisi Bila mgogoro( mfano. Unaweza mwambia huyo unayechatinae muda mwingi hakikisha hafanyi usahau watoto wako, najua wew ni mwanamke ni haki yako kutafuta upendo kwa kuhisi mimi sikupendi lakini nimesha lisamehe kwakuwa bado nakuhitji harafu endelea na mambo yako.
9. Salamu yako iwe fupi na yenye tabasamu la kiume yaan usitumie lips kutabasamu tumia macho.
10. Mpige matukio ya kumtoa out kumtembeza maeneo ambayo Kuna makahaba wanaojiuza pis kali kisha muulize Hawa unao waona unadhani unakipi ulicho wazidi? Ishi kwa kujifunza mke wangu mimi sio dhaifu kama unavyo nichukukulia.
 
Yeye Akiongea,,Wewe Zungumza Na Ndio Hulka Ya Kiume Hiyo...Wanaume Hatuongei ongei,,,Wanaume Tunazungumza...​
 
Embu safiri kwanza ukapumzike mahali upate nguvu mpya. Kuna kitu hujasema hapa, ukajitafakari.
 
Angalia na sikiliza kwa makini hii video utajua namna ya kuishi naye.
 
Mimi alikua akianza kuongea,naondoka alipo na kama muda unaruhu natoka nje ya home,baadae akawa anaogopa kunisema anajua huyu ataondoka
Huoni kwamba anaweza mtafuta mtu mwingine wa kumsikiliza?

Akiwa mwanamke you are safe, akiwa mwanaume anything can happen 😊
 
Mimi hayo mambo yao nishapiga stop , afu useongee sana na mke wako ukitoka job pitia kijiweni rudi usiku unakuta kashalala mambo fresh afu unadamka mapema sana huyo
Sasa mbususu ataila saa ngp jamaa yetu?
 
Mwanamke amekuwa kiumbe cha ajabu hasa hawa wa kipindi hiki.

Ndugu zangu mnisaidie, sasa nadhani inakuwa ngumu sana kumridhisha. Mke anataka mitazamo yake tuu (yaani uwaze vile anawaza na uwe na majibu ya husika ya hisia zake)

Aulze swali akiwa na tegemeo jibu ni lake alilokuwa nalo kichwani ndio ujibu hivyo hivyo. Mbaya zaidi swali ukianza kujadiliana; sababu katika swali lake aliuliza kwa sababu moja ila ikatokea mmeingia katika mjadala anakuja na sababu 100 hadi unashangaa wakati mwanzoni alikuuliza na sababu moja.

Huyo ni mwanamke alikuwa na diploma yake na yuko floor ya 3+

Wengine mtasema simahoni, ila namshona vizuri na kwenye mchezo yeye ndio anaomba Poo!

NB:-
Wanaume wengi kurudi nyumbani usiku/kutokupumzika nyumbani kukaa vijiweni na kutumia vileo zaidi wengine kutumia vileo kupitiliza wanawake/wake zao wana mchango mkubwa katika hili.

Ni hawa viumbe ukipatia mambo 10 kwa usahihi limoja linakawa na kasoro ya kawaida ni maneno wiki nzima.

Kusema wameumbiwa, kuona mabaya na kuyatunza!

W-T-F
Tired
Simama kama mwanaume mwambie hupendi her attitude.

if hato kusikiliza mwambie mlango ukowa wazi

Mwanamke ukimpa mpenyo au ukamuonyesha upole atakupelekesha
 
Back
Top Bottom