Nahitaji diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi

[emoji1] [emoji1]
Hakakujui kabisa..wewe ndiye unakajua tu.
[emoji23] [emoji23] ni kweli mpangaji sio lazima amjue mwenye nyumba ila mwenye nyumba kumjua mpangaji lazima[emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] ni kweli mpangaji sio lazima amjue mwenye nyumba ila mwenye nyumba kumjua mpangaji lazima[emoji125] [emoji125]
Wapangaji wengine vimbelembele ukiwa mgeni utajua nyumba yake.
 
matembele ni diet tosha,, kama unakula tembele unanenepa basi acha tu usihangaike utajiumiza bure.
 
i
Ni kweli kbsa maji ya vuguvugu yanasaidia sana na results unaziona kbsa. Mimi nilishawahi kutumia maji vuguvugu na nikapungua kwa kweli.
lla saivi mwili umerudi ka awali?
 
sikuzote ka unadhamira ya kufanya jambo lazima ulifanyie utafiti wa kina, mfano nini chanzo cha kitambi? ukishajua ndo waanzisha vita na kisababishi, nikushauri hebu jaribu kula vyakula ambavyo havisababishi umwagaji wa insulini kwa wingi then epuka vyakula vinavyohifadhiwa katika mfumo wa mafuta baada ya mmeng'enyo wa mwisho.
 
Vipi kitambi hakijaisha bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…