Nahitaji gari la kutembelea la juu kwa Bajeti ya Shilingi Milioni 30

Nahitaji gari la kutembelea la juu kwa Bajeti ya Shilingi Milioni 30

upakoo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
101
Reaction score
70
Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi,

Naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
 
kuna hiyo ila simjui lakini naona kaweka number zake.Itakufaa hiyo mkuu.
Screenshot_2018-09-22-22-12-49.jpg
 
Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
kaka kuna nyuzi nyingi humu kuhusu magari unaweza kupitia moja badala ya nyingine kisha ukawacheki baadhi ya member P.M kama akina mshana na wengineo utapat msaada.
 
kaka kuna nyuzi nyingi humu kuhusu magari unaweza kupitia moja badala ya nyingine kisha ukawacheki baadhi ya member P.M kama akina mshana na wengineo utapat msaada.
Shukrani Mkuu ila nyuzi ni nyingi mnoo si rahisi kuzipitia zote hususani sisi wakulima
 
Back
Top Bottom