Nahitaji gari la kutembelea la juu kwa Bajeti ya Shilingi Milioni 30

Nahitaji gari la kutembelea la juu kwa Bajeti ya Shilingi Milioni 30

X3 inahitaji mtu ambaye kutoa Milioni 2 kwa ajiri ya repair hashangai, pia ni gari zinazohitaji uelewa wa magari ili uwezo kuenjoy, mfano ukienda kwa fundi kama sio mtu wa magari atakupa ushauri wa kitoyota toyota wakati wewe umeenda na BMW X3, Kuna gari nyingi za Europe zimebadilishwa mifumo yake kwa sababu ya mafundi uchwara wengi.
Uko vizuri.
 
Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
Nunua Toyota Vanguard au Rav4 kama Vanguard (2005/6). Hapo utapata kila kitu kwa wewe mgeni na magari.
 
Back
Top Bottom