Nahitaji gari la kutembelea la juu kwa Bajeti ya Shilingi Milioni 30

Nahitaji gari la kutembelea la juu kwa Bajeti ya Shilingi Milioni 30

Kama ni kwaajili ya shambani chukua Hillux double cabin, Navara au Nissan hardbody.

Kama ya kuyembelea Mjini kamata forester toleo la kuanzia 2009,harrier,mark x,brevis
 
Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
Chukua Toyota Rav 4 New Model 2017 itakufaa sana Mdau.
Nimeiyona maeneo fulan hivii hapa Dar ni nzuri sana.
Ukishindwa basi nunuwa Vanguard sh 35million ni nzur sana na utajenga heshima mtaani
PicsArt_09-21-08.40.50.jpeg
 
Toyota Harrier (2nd Generation 240G XU-30)

Kama Mil 23 afu Mil 7 tafuta Passo/IST kwaajili ya Uber kuilisha mafuta na maintenance iyo Harrier
 
Kama ni kweli unataka gari ya juu ya 30M chukua Discovery 3 ya 2.7 Diesel engine, iko vizuri sana kuanzia Ulaji wa mafuta, heshima mtaani mpaka uwezo wa kuhandle barabara mbovu e.t.c
Usisahau kumwambia pia maintainance cost zake+jinsi hilo gari linavyozinguaga hovyo hovyo.
 
Nunua Mercedes Benz M Class ya 2001 iko poa sana na bei inacheza humo. Mafundi wa magari ya kijerumani wamejaa tele hadi humu Jamiiforums

2002 ml 1.jpg
2002 ml 2.jpg
2002 ml 3.jpg

Gharama zote mpaka unaliendesha ni kama milioni 35 hivi

Faida zake ni kwamba hili ni SUV na lina Fourwheeldrive kwa hiyo unaweza kuwa unaenda nalo hadi shamba na linapita popote bila kuathirika unlike Saloons/Sedans ambako hata mijini tu kuna sehemu zinazisumbua kupita
 
Attachments

  • 2002 ml 4.jpg
    2002 ml 4.jpg
    39.6 KB · Views: 41
Nunua Mercedes Benz M Class ya 2001 iko poa sana na bei inacheza humo. Mafundi wa magari ya kijerumani wamejaa tele hadi humu Jamiiforums

View attachment 1059947View attachment 1059950View attachment 1059952

Gharama zote mpaka unaliendesha ni kama milioni 35 hivi

Faida zake ni kwamba hili ni SUV na lina Fourwheeldrive kwa hiyo unaweza kuwa unaenda nalo hadi shamba na linapita popote bila kuathirika unlike Saloons/Sedans ambako hata mijini tu kuna sehemu zinazisumbua kupita
Benzi la 2001?unataka kufa na mawazo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
njoo niupe rav 4 misS tanzaNIA
 
Naona kumekuwa na kona nyiiingi za hapa na pale na wachache wametoa maoni yao chanya ambayo nayaheshimu.
Sio kwamba ninajua sana magari, ila ina idea tu na magari. So kabla ya mie kushare nikijuacho, nimuulize maswali kadha wa kadha mleta mada. Akiyajibu basi tutaenda mbele. JF ni nyumbani na imenifunza mengi.
Maswali kwako mleta mada.
1. Wataka gari kwa mizunguko ya wapi? Shamba sana halafu mjini kidogo au mjini sana halafu shamba kidogo?

2. Wataka gari la juu la kazi sana au luxury

3. Je uwezo wako wa kuliendesha gari (namaanisha kulikidhi kwa mafuta na service) unakomea wapi? Kuna gari ukienda service unakata hadi 2M

4. Ukubwa wa familia yako je?

Ukija na hayo majibu nitarudi na maoni yangu na mapendekezo. Kila la kheri

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Kuna post humu zinaelezea magari, kuna zinazoelezea jinsi ya kuchagua gari. Usiwe mvivu
 
Back
Top Bottom