kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Ungekua ni mtu wa magari ningekwambia uchukua BMW X3 Mnyama hatari sana, ila kama sio mzoefu wa magari chukua harrier 2.5.Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
jiongeze mkuu acha zarauNi kama unataka kuoa halafu hujui chochote kuhusu kupata watoto, kalime tu viazi
Mkuu nakushuru naomba sifa za hii harrier huwa naionaga sanaUngekua ni mtu wa magari ningekwambia uchukua BMW X3 Mnyama hatari sana, ila kama sio mzoefu wa magari chukua harrier 2.5.
Rebeca utaliwa rafiki yangu kupenda pesa za watuu..watu kweli wana hela za mchezo,si unigaie na mimi….mnh
Rebeca utaliwa rafiki yangu kupenda pesa za watuu..
Usiombe hadharani pesa, njoo kule makutano junction nimalize shida yako..hahaaa nipe bana kama unazo...lol
Usiombe hadharani pesa, njoo kule makutano junction nimalize shida yako..
[emoji125]
Hahahah..! Ila uje peke yako sawa na pia usimwambie jamaa.nisubiri hivyooo 😉😉
Mkuu unaweza kudadavua kidogo unamaanisha nini unaposema kama 'mtu wa magari' achukue BMW X3, na sio achukue Harrier?Ungekua ni mtu wa magari ningekwambia uchukua BMW X3 Mnyama hatari sana, ila kama sio mzoefu wa magari chukua harrier 2.5.
Mkuu kwani kuna sehemu nimeandika nataka gari ya mkononi au unajichetua tu kama ......jiongeze acha tabia za kikeMISSING IMPOSSIBLE... unanikumbusha ENZI ya Kutafuta RUPIAH.. na PESA ZA ZAMANI...Ukiipata VISINGIZIO HAVIISHI,, .pengine hapo ULIPO HATA MCHANA HUJALA,,,unataka KUSUMBUWA WENZIO,,, KAMA una 30 MILLIONS kuna haja ya kutaka gari ya mkononi?
Hapa hakikisha iwe Diesel, ikiwa Petrol utafurahia na roho yakoKama ni kweli unataka gari ya juu ya 30M chukua Discovery 3 ya 2.7 Diesel engine, iko vizuri sana kuanzia Ulaji wa mafuta, heshima mtaani mpaka uwezo wa kuhandle barabara mbovu e.t.c
X3 inahitaji mtu ambaye kutoa Milioni 2 kwa ajiri ya repair hashangai, pia ni gari zinazohitaji uelewa wa magari ili uwezo kuenjoy, mfano ukienda kwa fundi kama sio mtu wa magari atakupa ushauri wa kitoyota toyota wakati wewe umeenda na BMW X3, Kuna gari nyingi za Europe zimebadilishwa mifumo yake kwa sababu ya mafundi uchwara wengi.Mkuu unaweza kudadavua kidogo unamaanisha nini unaposema kama 'mtu wa magari' achukue BMW X3, na sio achukue Harrier?
Mkuu hili jiwe rav new model ni zaidi ya mil 100.RAV 4 new model kama Hyundai hivi
Acha uvivu.Shukrani Mkuu ila nyuzi ni nyingi mnoo si rahisi kuzipitia zote hususani sisi wakulima
Awe anapanda ya wenginekwamba afanye nini sasa