Mkuu mbona unatoa povu kwani ni lazima uandike? acha roho mbaya mkuu.Acha uvivu.
Sasa unataka watu warudie mada mara tatu tatu kwa ajili yako kwani unawalipa?
Kwa nini unataka watu wakutumikie bila juhudi yoyote toka kwako?
Usipofanya juhudi ya kujua ni aina gani ya gari unahitaji, kwa matumizi yapi, kwa barabara zipi na hali ipi ya hewa..hiyo gari itageuka janga.
shukrani mkuuHapa hakikisha iwe Diesel, ikiwa Petrol utafurahia na roho yako
wadau wanasema hizi ni gari za vijana mimi umri umeenda sanaNunua Mark X , Crown au Brevis ndio Habari ya mjini na chenchi inaludi. Sema wenye Passo watakwambia gari yako inakula sana mafuta......wewe wajibu tu, “mlitaka ile nini mkate?”
nakushuru mkuu kwa kutambua nina 30m.tuuMkuu hili jiwe rav new model ni zaidi ya mil 100.
Kajifunze magari kwanza...sijui chochote mkuu ndio naanza kuwaza magari baada ya kuvuna na kupata bei nzuri
Kama unataka gari ya juu achana na sedan, chukua SUV ya land rover,iwe dieselwadau wanasema hizi ni gari za vijana mimi umri umeenda sana
Kwa hiyo sistahili kumiliki ndika mkuuAwe anapanda ya wengine
Kama sio lazima mimi kuandika basi usingetuuliza swali, na vile vile sio lazima na wewe kutuuliza maswali yako.Mkuu mbona unatoa povu kwani ni lazima uandike? acha roho mbaya mkuu.
shukrani mkuuKama unataka gari ya juu achana na sedan, chukua SUV ya land rover,iwe diesel
Mtu anayesumbua na mada kama hii ana thamani sana kuliko wale wa PentagonWewe huna hela zaidi ya kutaka kusumbua watu hapa
Mkuu sisi wakulima huwa hatuna muda kabisa tunapenda kuwatumia wataalam waliotakamika kama ninyi mtushauri ipasavyo hivyo usichoke kutumikaKama sio lazima mimi kuandika basi usingetuuliza swali, na vile vile sio lazima na wewe kutuuliza maswali yako.
Sijatoa povu, ninakupa ushauri muhimu sana.
Tatizo lako hutaki kufanya kazi, kujishughulisha.
Hata google tu hutaki kutumia, wameshakushauri thread zimo humu hutaki kusoma unasumbua watu tu.
Hata aina ya gari na matumizi yake hujui. Sasa we unataka ufanyiwe kila kitu.
Mkuu acha zarau toa tu ushauri kama wewe sio mtaalam waachie wataalam waliostarabikaWewe huna hela zaidi ya kutaka kusumbua watu hapa
Mkuu acha zarau toa tu ushauri kama wewe sio mtaalam waachie wataalam waliostarabika
ni kweli sina elaa ila nina hela mkuu wangu acha mambo ya kimama nishauri tu mkuuKaka sikudharau, ilq huna ela,
Narudia tena HUNA elaaa.
Kanunue trekta uboreshe kilimo chako.Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
Kama ni kweli unataka gari ya juu ya 30M chukua Discovery 3 ya 2.7 Diesel engine, iko vizuri sana kuanzia Ulaji wa mafuta, heshima mtaani mpaka uwezo wa kuhandle barabara mbovu e.t.c