ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Kabla ya kununuaWadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
Mkuu hiyo ninayo mkuu ni johndeerKanunue trekta uboreshe kilimo chako.
Kaka huna ela wala helani kweli sina elaa ila nina hela mkuu wangu acha mambo ya kimama nishauri tu mkuu
Chukua Toyota Rav 4 New Model 2017 itakufaa sana Mdau.Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima
tatizo lako unataka kuleta mashindano yasiyo na afya acha umamaKaka huna ela wala hela
Aaahtatizo lako unataka kuleta mashindano yasiyo na afya acha umama
Acha mambo ya kikeUkihama hapo kwa wazazi ndio utajua maisha ni nin
Usisahau kumwambia pia maintainance cost zake+jinsi hilo gari linavyozinguaga hovyo hovyo.Kama ni kweli unataka gari ya juu ya 30M chukua Discovery 3 ya 2.7 Diesel engine, iko vizuri sana kuanzia Ulaji wa mafuta, heshima mtaani mpaka uwezo wa kuhandle barabara mbovu e.t.c
Unajua bei ya hio rav 4 2017 model,kodi yake tu ni 38mil.Chukua Toyota Rav 4 New Model 2017 itakufaa sana Mdau.
Nimeiyona maeneo fulan hivii hapa Dar ni nzuri sana.
Ukishindwa basi nunuwa Vanguard sh 35million ni nzur sana na utajenga heshima mtaaniView attachment 875428
Sio mbaya akalipa kodi yetu kabisa halafu akijichanga anunue ndinga...Unajua bei ya hio rav 4 2017 model,kodi yake tu ni 38mil.
Benzi la 2001?unataka kufa na mawazo tu.Nunua Mercedes Benz M Class ya 2001 iko poa sana na bei inacheza humo. Mafundi wa magari ya kijerumani wamejaa tele hadi humu Jamiiforums
View attachment 1059947View attachment 1059950View attachment 1059952
Gharama zote mpaka unaliendesha ni kama milioni 35 hivi
Faida zake ni kwamba hili ni SUV na lina Fourwheeldrive kwa hiyo unaweza kuwa unaenda nalo hadi shamba na linapita popote bila kuathirika unlike Saloons/Sedans ambako hata mijini tu kuna sehemu zinazisumbua kupita
njoo niupe rav 4 misS tanzaNIAWadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi ni mkulima