Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Somo refu Ila ngoja nijaribu
Fuel economy ni bonus sio lengo la kununua engine kubwa performance ya engine ni muhimu Ila hutaitumia kila Mara

Unapata very stable torque kwenye engine ya six kuliko four , hii ndio sababu engine za six huwa Zina idle smooth na quiet .

Ukiwa msomaji mzuri wa graph za power torque vs rpm utakuja kugundua engine ya six huwa inatoa nguvu zake kwenye rpm za chini kabisa ukilinganisha na 4 cylinders , hii ndio sababu engine za six huwa zinaishi maisha marefu sana kama zitampata mtu anaezijua .

Economically speaking engine kubwa ni bora kuliko engine ndogo ,
" Speak softly and carry a big stick.. T ,roosevelt" huu ndo misimamo wangu pia
 
Saa nyingine najiulizaga maswali :
Let say scania 113e ipi na 320hp

Alafu unakuta tena kagari kadogo kapo na 400+hp ndio kusema kana ubavu kuliko scania??[emoji848][emoji848]

Kwa sasa namiliki baiskeli tu.
Scania linakuwa na Torque kubwa sana, speed, itazidiwa na hiyo yenye HP kubwa, ila maguvu hako kadogo kanakaaa
 
Nunua passo cc 990 halafu nunua na V6 3.5 cc uone kama utakuwa unatumia passo. Akili yako itakutuma utafute pesa ya mafuta tu uendeshe v6 3.5 cc. passo itakuwa emmergency car ukipigika kweli.
 
Vp kihusu brevis
 
Ndio nimeendesha, na ndio maana nimemuambia achukue Athelete nina experience nayo, haili wese kabisa
Sina experience, hivi Mark X Engine code 4GR na Crown Athlete the same Engine Code with the same CC(2500) ulaji wake uko sawasawa? Hakuna maboresho fulani ya mfumo wa umeme ambao moja kati ya gari hizo unasababisha iwe na unafuu katika fuel economy?
Mimi binafsi hizi 6 cylinder nazikubali sana, nimewahi tu kuwa na gari la engine ya 1G 6 Cylinder, kwa hakika inashika njia na hakuna mpuuzi yeyote wakati ule wa ligi za mabasi aliwahi kunisumbua.
 
Mimi similiki crown uwa nazugia za washkaji,ila kwa comf ile ya crown 7-8 wala sio ya kulalamika
Hutakiwi kulalamika hio ndio level ya Crown ila ukisikia mtu anasema hainywi wengine wanapotoka wanaingia mkenge walifikiri ni kama Premio
 
Mm ninalo usije Na fundi
 
Good question. 8-12 kms per lita si mbaya. Coz ninayo ambayo inatumia 7-8 kms per litre - diesel
Basi una machaguo mengi. Crown,Fuga kwa saloons kama ulivyosema hutaki chini ya 2005 zipo kuanzia 2007-20 wewe tu
 
Inacheza kwenye 7 mpaka 8
Aah, sasa hiyo mbona sawa tu na gari kama Rav 4 engine code 1AZ, 1ZZ na 2AZ? 1ZZ iko kwenye Kill time Rav 4, Voltz, Premio kutaja baadhi.

Kadri nijuavyo kama mtu anaweza kuendesha RAV 4, Kluger, Harrier za kuanzia 5S, 2AZ Ambazo zote ni 4 cylinder zenye cc 2400, hawezi kushindwa 6 Cylinder hizi za kisasa ambazo zina CC 2500.

Nadharia hapa ni kuwa kuna mtu anajaza tank lake la maji kwa pipe 4 kubwa(boreholes) na mwingine anajaza tank lake lenye ujazo unaoelekea kufanana CC2500 vs 2400 kwa kutumia pipe ndogo 6, tofauti hapo ni kama hamna na kwa kutumia advanced technology yaani usaidizi wa mifumo iliyoboreshwa ya umeme wa gari, utakuta ulaji wa mafuta ni mdogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…