mbezi beach/24hrs on&off shiftWhere is the job location? How many work hiours per day so the shift?
Hakuna kitu Kama house maid wa kiume!!nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
Majukumu
- wawe na cheti cha chekechea
- wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
- watafanya kazi kwa shifti
- Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Mshahara
- Kuandalia watoto chakula
- kufuata vyakula sokoni kwa gari
- kufua na usafi kwa ujumla.
- Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
- kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
- kucheza na watoto
- kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
ni bora niajiri house maid atakaefanya na kufundisha watoto hii ni kubana matumizi na kuwandolea usumbufu watoto na ma schools bus na misukosuko, in short ni kuondoa gharama za ada ambazo zinafika hadi 5mil kwa mtoto mmojawewe jamaa una dharau sana.
yaani mwalimu mwenye cheti chake awe house maid ?
rubish.
ukilitaka hadi Uzeekee kwangu Mkuu?Acha habari zako we we,kwahyo watoto wako wakiongezeka umri kibarua changu cha kufundisha kinakua kimeisha au mfumo wa shule ambayo hutaki suala la kodi lihusishwe?
Kuandika kwenyewe hujui, halafu unataka uajiri waliosoma kwa ajili ya u-house maid ?!!ukilitaka hadi Uzeekee kwangu Mkuu?
Ndiyo maana natafta wasomi! mie sijasoma mkuuKuandika kwenyewe hujui, halafu unataka uajiri waliosoma kwa ajili ya u-house maid ?!!
[emoji23][emoji23]Sasa Kama serikali imegoma kuajiri SI Bora watu wenye huruma Kama Hawa watoe tu ajira.wewe jamaa una dharau sana.
yaani mwalimu mwenye cheti chake awe house maid ?
rubish.
std seven!Mkuu mleta Uzi Elimu yako tafadhari