Nahitaji house maid wa kike na kiume wawe na cheti cha Ualimu wa chekechea

Huna lolote.
eti kufua na kenye garden. kwa garden gani uliyokua nayo ? kama unataka dobi tafuta mwenye cheti cha kufua nguo. uliambiwa kwenye ualimu tunafundishwa kufua halafu eti take home laki mbili na nusu. Hivi vi rushwa vyenu mnavyopata huko serikalini visiwatie kiburi. ukipata ni beep
 
kama huna cheti si uwaache wengine! rushwa inaingiaje tena, kama rushwa ni dili si uombe na ww?
 
Yani mtu uende kusomea ualimu halaf ukawe yeye na kumenya vitunguu,kufua chupi kwa laki 2 na nusu [emoji23][emoji23]
America watu wana digrii zao wanachambisha wazee, ww na ki certificate chako unaona kumenya kitunguu nuksi! aisee
 
Sehemu ya kazi ni wapi boss wangu niangalie kama kwa nauli ya sasa kazi italipa. pia vipi misosi tunakula hapo kwako au magengeni ?
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna lolote.
eti kufua na kenye garden. kwa garden gani uliyokua nayo ? kama unataka dobi tafuta mwenye cheti cha kufua nguo. uliambiwa kwenye ualimu tunafundishwa kufua halafu eti take home laki mbili na nusu. Hivi vi rushwa vyenu mnavyopata huko serikalini visiwatie kiburi. ukipata ni beep
 
Watu wamejibu kwa hisia sana [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom