Nahitaji house maid wa kike na kiume wawe na cheti cha Ualimu wa chekechea

Nahitaji house maid wa kike na kiume wawe na cheti cha Ualimu wa chekechea

wewe jamaa una dharau sana.

yaani mwalimu mwenye cheti chake awe house maid ?



rubish.
Hizo laki mbili umezidharau?, mhmmm!!! walimu tena wenye diploma zao wapo kitaa wengi sana wanapiga temple kwa ujira mdogo tena nusu la dau lililotajwa hapo juu
 
As long as pesa inapatikana hakuna shiida kazi ni kazi, kama take home ni 250000,akigharamia nauli na kula hapo angalau ili kupunguza jam ya wasiokua na kazi
 
nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
  1. wawe na cheti cha chekechea
  2. wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
  3. watafanya kazi kwa shifti
  4. Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Majukumu
  1. Kuandalia watoto chakula
  2. kufuata vyakula sokoni kwa gari
  3. kufua na usafi kwa ujumla.
  4. Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
  5. kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
  6. kucheza na watoto
  7. kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
Mshahara

take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
Mkataba upo?
 
Ha ha ha ndo akili za mleta Uzi ukimwambia ana dharau anashangaa
Yani mtu uende kusomea ualimu halaf ukawe yeye na kumenya vitunguu,kufua chupi kwa laki 2 na nusu [emoji23][emoji23]
 
12. wawe na cheti cha chekechea



Inawezekana sikumwelewa mleta Uzi kumbe sifa ni kua na cheti cha chekechea mtu ambae hata hakumaliza darasa LA saba

Hapa sasa nimeelewa
 
Tangazo lako limekosa sifa 1, umeweka sifa ya kiwango cha elimu ila ujaweka kiwango cha malipo
 
As long as pesa inapatikana hakuna shiida kazi ni kazi, kama take home ni 250000,akigharamia nauli na kula hapo angalau ili kupunguza jam ya wasiokua na kazi
Nauli ya nini wakati kazi ni 24hrs
 
kazi kwelikweli; sasa zarau iko WAP
Hapa ndipo utaona akili za watanzania mtu yuko radhi akae kijiweni lakini asifanye kazi hiyo kisa tu anasubiri aajiriwe shuleni anangoja mpaka anazeeka.
watu na degree zao nchi nyingine wanafanya hadi baby sitting as part time job. Putin alikuwa afanye kazi ya udereva tax kabla ya kuwa raisi
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Hizi kazi za manyanyaso Sana ukizigawa kwa mfumo uloweka kazi zifanywe na mtu mmoja ni sawa na za wafanyakazi wa4 ukigawa kwa mwezi unalipa elfu50 mtu na Chet chake
 
Hapa ndipo utaona akili za watanzania mtu yuko radhi akae kijiweni lakini asifanye kazi hiyo kisa tu anasubiri aajiriwe shuleni anangoja mpaka anazeeka.
watu na degree zao nchi nyingine wanafanya hadi baby sitting as part time job. Putin alikuwa afanye kazi ya udereva tax kabla ya kuwa raisi
kabisaa Mkuu
 
Ww ni mnyonyaji na hutapata hawa watu. Mwalimu wa chekechea aje kuwa housemaid kwa laki 2.5. Koma
 
Watu wanalalamika mtaji mtaji sasa njia ya kupata mtaji inajileta kama hiyo still wanaona wamezalauliwa kweli motivatonal speaker wanaumuhimu wa kumfikia kila mtu.

sasa kama 24 hour inakuhitaji miezi 4 tu kuwa na 1 million inatosha kufungua biashara yako, muda ausubili.
 
Unafanya utafiti mkuu, sio? Watakuja wengi sana, kila la kheri.
 
Sasa unasema house maid halafu inaongezea wa kike na wa kiume? Au hujui kuwa house maid ni female domestic worker or maid servant?
 
Back
Top Bottom