Nahitaji house maid wa kike na kiume wawe na cheti cha Ualimu wa chekechea

Nahitaji house maid wa kike na kiume wawe na cheti cha Ualimu wa chekechea

nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
  1. wawe na cheti cha chekechea
  2. wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
  3. watafanya kazi kwa shifti
  4. Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Majukumu
  1. Kuandalia watoto chakula
  2. kufuata vyakula sokoni kwa gari
  3. kufua na usafi kwa ujumla.
  4. Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
  5. kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
  6. kucheza na watoto
  7. kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
Mshahara

take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
NSSF na NHIF tutapata...?
 
Uwiiiiii we acha zarau MTU na chet cha ualim awe house maid iseeee nimekuogopa na hiyo mikazi yenyewe kama yote harafu hapo hapo unaambiwa mshahara 200,000
 
Hizi kazi za manyanyaso Sana ukizigawa kwa mfumo uloweka kazi zifanywe na mtu mmoja ni sawa na za wafanyakazi wa4 ukigawa kwa mwezi unalipa elfu50 mtu na Chet chake
Kweli haiwezekani mtu awe mwalimu, dereva, housemaid, gardener hapo kuna sehemu atavurunda tu ,
 
Jamani hyo si kazi km kazi nyingine? Tatizo liko wapi mpaka mnajiliza liza kuwa jamaa ana dharau!
 
ni bora niajiri house maid atakaefanya na kufundisha watoto hii ni kubana matumizi na kuwandolea usumbufu watoto na ma schools bus na misukosuko, in short ni kuondoa gharama za ada ambazo zinafika hadi 5mil kwa mtoto mmoja
So kwako wewe na mbwembwe zote ni bora elimu na si elimu bora?
 
Hahaaa Nimependa kigezo cha
"Awe anaweza kucheza na watoto"

Daaaa halaf kweli mtu anakosa jinsi tena mwanaume inabd akubali, Umaskin tu n chanzo cha magonjwa meng sana,
 
nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
  1. wawe na cheti cha chekechea
  2. wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
  3. watafanya kazi kwa shifti
  4. Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Majukumu
  1. Kuandalia watoto chakula
  2. kufuata vyakula sokoni kwa gari
  3. kufua na usafi kwa ujumla.
  4. Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
  5. kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
  6. kucheza na watoto
  7. kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
Mshahara

take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX

Nimepotelea hapo kwenye house maid wa kike na kiume, Cheti cha chekechea ikiwa na maana kama alipitia hiyo shule au cheti kabisa cha professional?
 
Kwa vigezo vilivyotajwa hapo huoni kama ni utumwa
Sioni shida hapo muhimu jadilianeni package ya take home maana hapo kuna kazi kama tatu aupair ,tuitor ,cleaner and chef!
Atoe tu kuanzia 2m kwenda mbele uone hata wale wa sekondar watakavyokuja
 
Haki nimepitia comments nimecheka sana.
Kwa hiyo mkuu hizo shift na za usiku ina maana hao watoto ni sawa na kuku wa kisasa vile hawawezi kulala bila taa?

Wanataka mwalimu wa kuwachezea hadi wasinzie?
Nimecheka sana
 
Itakua una shule ya chekechea sema unataka kubana matumizi ya kuajiri mfanya kazi za ndani na nje. Mtu akiwa busy na mivyombo na minguo atafundisha saa ngap hao watoto bado kucheza nao.
Ebu kua na huruma basi
 
nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
  1. wawe na cheti cha chekechea
  2. wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
  3. watafanya kazi kwa shifti
  4. Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Majukumu
  1. Kuandalia watoto chakula
  2. kufuata vyakula sokoni kwa gari
  3. kufua na usafi kwa ujumla.
  4. Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
  5. kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
  6. kucheza na watoto
  7. kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
Mshahara

take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
Yaani taka taka zote hizo earn 250k!
RUBISH!
 
America watu wana digrii zao wanachambisha wazee, ww na ki certificate chako unaona kumenya kitunguu nuksi! aisee

Sasa Amerika unaifananisha na Tanzania kwa kipi Nambie angalau kitu ambacho Tanzania tunefika robo ya American
 
Watu wamejibu kwa hisia sana [emoji23][emoji23]
Hua tunasema wahindi ni waajiri dhulmat lkn my bro and sister waajiri wa kiswahili ni shida. Usiende mbali anza na house girl wenu. anaamka 11 halafu wa mwisho kulala. mama mwenye nyumba akirudi tu housegirl roho juu. mama akitoka kwenda salon na kwenye umbea baba mwenye nyumba anapewa uroda kwa lazima. Kwa mshahara gani basi eti 60 or 70,000.
 
Back
Top Bottom