Nahitaji house maid wa kike na kiume wawe na cheti cha Ualimu wa chekechea

Nahitaji house maid wa kike na kiume wawe na cheti cha Ualimu wa chekechea

Watu wamejibu kwa hisia sana [emoji23][emoji23]
Hua tunasema wahindi ni waajiri dhulmat lkn my bro and sister waajiri wa kiswahili ni shida. Usiende mbali anza na house girl wenu. anaamka 11 halafu wa mwisho kulala. mama mwenye nyumba akirudi tu housegirl roho juu. mama akitoka kwenda salon na kwenye umbea baba mwenye nyumba anapewa uroda kwa lazima. Kwa mshahara gani basi eti 60 or 70,000.
 
wewe jamaa una dharau sana.

yaani mwalimu mwenye cheti chake awe house maid ?



rubish.
Dharau ipi Sasa?! Mkuu acha mawazo mgando haya. Wewe kama una cheti, mkakubaliana kazi vizuri na kiwango cha mshahara kwani kuna shida gani?
 
Back
Top Bottom