Hizo laki mbili umezidharau?, mhmmm!!! walimu tena wenye diploma zao wapo kitaa wengi sana wanapiga temple kwa ujira mdogo tena nusu la dau lililotajwa hapo juuwewe jamaa una dharau sana.
yaani mwalimu mwenye cheti chake awe house maid ?
rubish.
Mkuu usiniwahi kiasi hicho, hata mimi bado nashangaa! Sijui kwa hakuishia tu kwamba natafuta wasaidizi wa kazi bila kuweka hiyo house maid??!!Hakuna kitu Kama house maid wa kiume!!
[emoji23][emoji23][emoji23] amna na kumkaza mke wa bossYani mtu uende kusomea ualimu halaf ukawe yeye na kumenya vitunguu,kufua chupi kwa laki 2 na nusu [emoji23][emoji23]
Mkataba upo?nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
Majukumu
- wawe na cheti cha chekechea
- wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
- watafanya kazi kwa shifti
- Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Mshahara
- Kuandalia watoto chakula
- kufuata vyakula sokoni kwa gari
- kufua na usafi kwa ujumla.
- Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
- kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
- kucheza na watoto
- kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
Yani mtu uende kusomea ualimu halaf ukawe yeye na kumenya vitunguu,kufua chupi kwa laki 2 na nusu [emoji23][emoji23]
Soma uzi tena, au tukupe miwani.?Tangazo lako limekosa sifa 1, umeweka sifa ya kiwango cha elimu ila ujaweka kiwango cha malipo
Nauli ya nini wakati kazi ni 24hrsAs long as pesa inapatikana hakuna shiida kazi ni kazi, kama take home ni 250000,akigharamia nauli na kula hapo angalau ili kupunguza jam ya wasiokua na kazi
Hapa ndipo utaona akili za watanzania mtu yuko radhi akae kijiweni lakini asifanye kazi hiyo kisa tu anasubiri aajiriwe shuleni anangoja mpaka anazeeka.kazi kwelikweli; sasa zarau iko WAP
kabisaa MkuuHapa ndipo utaona akili za watanzania mtu yuko radhi akae kijiweni lakini asifanye kazi hiyo kisa tu anasubiri aajiriwe shuleni anangoja mpaka anazeeka.
watu na degree zao nchi nyingine wanafanya hadi baby sitting as part time job. Putin alikuwa afanye kazi ya udereva tax kabla ya kuwa raisi
Habari yako mkuu, vipi mambo ya gas.soma maelezo yako wazi