Toka lini mwanaume akaitwa house maid hili tangazo lake fyongo kabisa limekosa maadili ya kilughawewe jamaa una dharau sana.
yaani mwalimu mwenye cheti chake awe house maid ?
rubish.
Tena mwanume anamwita maidKuandika kwenyewe hujui, halafu unataka uajiri waliosoma kwa ajili ya u-house maid ?!!
NSSF na NHIF tutapata...?nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
Majukumu
- wawe na cheti cha chekechea
- wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
- watafanya kazi kwa shifti
- Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Mshahara
- Kuandalia watoto chakula
- kufuata vyakula sokoni kwa gari
- kufua na usafi kwa ujumla.
- Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
- kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
- kucheza na watoto
- kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
Nipe 2.5mil😁😁😁 excluding garden 😁😁😁😁😁 we ngosha wacha utani na watoto wa majiran? 😁😁😁😁 hiyo ni shule😁😁😁Ndiyo maana natafta wasomi! mie sijasoma mkuu
Kweli haiwezekani mtu awe mwalimu, dereva, housemaid, gardener hapo kuna sehemu atavurunda tu ,Hizi kazi za manyanyaso Sana ukizigawa kwa mfumo uloweka kazi zifanywe na mtu mmoja ni sawa na za wafanyakazi wa4 ukigawa kwa mwezi unalipa elfu50 mtu na Chet chake
Alishasema shule imempiga chenga kwa hyo msamehe!Tena mwanume anamwita maid
So kwako wewe na mbwembwe zote ni bora elimu na si elimu bora?ni bora niajiri house maid atakaefanya na kufundisha watoto hii ni kubana matumizi na kuwandolea usumbufu watoto na ma schools bus na misukosuko, in short ni kuondoa gharama za ada ambazo zinafika hadi 5mil kwa mtoto mmoja
Kwa vigezo vilivyotajwa hapo huoni kama ni utumwaJamani hyo si kazi km kazi nyingine? Tatizo liko wapi mpaka mnajiliza liza kuwa jamaa ana dharau!
nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
Majukumu
- wawe na cheti cha chekechea
- wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
- watafanya kazi kwa shifti
- Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Mshahara
- Kuandalia watoto chakula
- kufuata vyakula sokoni kwa gari
- kufua na usafi kwa ujumla.
- Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
- kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
- kucheza na watoto
- kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
Sioni shida hapo muhimu jadilianeni package ya take home maana hapo kuna kazi kama tatu aupair ,tuitor ,cleaner and chef!Kwa vigezo vilivyotajwa hapo huoni kama ni utumwa
Yaani taka taka zote hizo earn 250k!nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo;
Majukumu
- wawe na cheti cha chekechea
- wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na Siku husika)
- watafanya kazi kwa shifti
- Wenye leseni ya udereva watafikiiwa zaidi.
Mshahara
- Kuandalia watoto chakula
- kufuata vyakula sokoni kwa gari
- kufua na usafi kwa ujumla.
- Garden na kumwagilia maua kwa wanaume
- kufundisha watoto Wangu na baadhi ya watoto Wa majirani watakaojumuika.
- kucheza na watoto
- kazi ni kwa shifti wawiliwawili kwa siku moja moja off
take home laki mbili na nusu kwa mwezi kila mmoja!
KARIBUNI INBOX
America watu wana digrii zao wanachambisha wazee, ww na ki certificate chako unaona kumenya kitunguu nuksi! aisee
Hua tunasema wahindi ni waajiri dhulmat lkn my bro and sister waajiri wa kiswahili ni shida. Usiende mbali anza na house girl wenu. anaamka 11 halafu wa mwisho kulala. mama mwenye nyumba akirudi tu housegirl roho juu. mama akitoka kwenda salon na kwenye umbea baba mwenye nyumba anapewa uroda kwa lazima. Kwa mshahara gani basi eti 60 or 70,000.Watu wamejibu kwa hisia sana [emoji23][emoji23]