Nahitaji kazi Arusha mjini au Moshi mjini, Mimi nipo iringa

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
645
Reaction score
704
Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kazi iyo naomba anitumie ujumbe, inbox kwa mawasiliano zaidi, hata kama ipo kazi nyingine yoyote inayo usika na ufundi, nipo tayari kufanya na hata kujifunza,
Asante sana kwa kusoma,
 
Vitu ninavyo weza kutengeneza
 

Attachments

  • 8c2629f2001799babd24fa2527c44c1b.jpg
    72 KB · Views: 14
  • d1b5e8b7598991e929449d416c44ea26.jpg
    28.6 KB · Views: 13
  • 17ee743ce271f7c68ffd55a6d4828b59.jpg
    63.3 KB · Views: 15
  • 0b00907c8a4f9b26788bad56596e61e2.jpg
    62.6 KB · Views: 15
  • bda6767eec3845976189df50bafea5b4.jpg
    49.8 KB · Views: 16
  • 5647037b78324d45b94a00ecc85c9a9c (1).jpg
    146.5 KB · Views: 13
  • 3c0c4fbc6fbb4a1719e724d9bbb38fc9 (1).jpg
    133.2 KB · Views: 16
Baki Iringa, upige kazi. Au unaogopa. Iringa sehemu nzuri sana ya kufanya biashara.

Nimekaa Iringa zaidi ya miaka 3, Machine tatu napo umekosa.

Kama unaona hiyo biashara haitoki badilisha biashara.

Au unataka maisha ya haraka, leo upambane kesho uwe Bilionea hiyo haipo.

Maisha ni polepole mnyalukolo beeeee, baki hapo hapo Iringa.

Final decision kama unataka kutoka Iringa mjini, nenda Mafinga, Makambako, Tunduma, Njombe mjini au Mbeya.
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…