Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
Mkuu cheki online bus zote wanakata ticket on-line sehemu ya Menu pale bonyeza harafu scroll mpaka sehemu ya contact utapata namba zao mpaka email yao pia..