Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu jeshi la zimamoto kwa ambaye ana fahamu

man of sun

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
329
Reaction score
460
1.naomba kufahamu kuhusu mishahara ya jeshi la zima moto

2.naomba kufahamu baada ya kuhitimu mafunzo ya jeshi la zimamoto wanakuruhusu baada ya miaka mingapi ukasome Tena
 
Mkuu wewe omba ukisema uchague kazi tutaendelea kubeti tu haya tena wewe hufai kabisa kwenda jeshi lolote.
Unaingia kazi za wito kwa maslahi hahhaa
 
Kwa ufahamu wangu Polisi wote mishahara yao inafanana, so Kama unajua mishahara ya Magereza au Polisi Tanzania ndo hiyo hiyo ya Zimamoto
 
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ni Jeshi lililo wizara ya mambo ya ndani sawa na polisi,magereza na uhamiaji hivyo majeshi haya yote mishahara ya na posho vinafanana na kusoma ni mpaka umalize miaka mitatu kazini.
 
Kwa ufahamu wangu Polisi wote mishahara yao inafanana, so Kama unajua mishahara ya Magereza au Polisi Tanzania ndo hiyo hiyo ya Zimamoto
Askari magereza au zima moto hao wote sio police officers.Jifunze,uelewe.
 
Wote ni polisi tu hao, ndo Mana hata vyeo vyao vinafanana, ulienda PT Mwenye nyota mfano anaitwa Assistant Inspector, ukienda MT anaitwa hivo hivo, hao wote ni mapolisi Ila wa Kaz tofauti tu, amini hivyo
 
Ushituke sana hata Mgambo ni Police officer mzee tena sheria kabisa inamtaja hivyo itategemea tu atakuwa anafanya nini muda huo. Mgambo ni sawa na konstabo wa polisi.
 
Wote ni polisi tu hao, ndo Mana hata vyeo vyao vinafanana, ulienda PT Mwenye nyota mfano anaitwa Assistant Inspector, ukienda MT anaitwa hivo hivo, hao wote ni mapolisi Ila wa Kaz tofauti tu, amini hivyo
Jf ni uwanja wa elimu.Ngoja nikupe elimu.

Askari wa magereza,uhamiaji,zimamoto hao wote si askari polisi ijapokuwa kazi yao inaendana na ya polisi(Law enforcement).Kulingana kwa majina ya vyeo haimanishi hizi ni idara zinazoendana,nchi kama South Africa,polisi hutumia vyeo vya kijeshi(Luteni,capt,kanali...)sasa hapa utasema kisa polisi wanatumia ranks za kijeshi nao waitwe Miltary?

Police officers,correction officers,firefighters,immigration officers are not the same.
 
Asante kwa SoMo Kaka.
 
Mishahara yake haitofautiani sana na ya Jeshi la Akiba
 
Jf ni uwanja wa elimu.Ngoja nikupe elimu.

Askari wa magereza,uhamiaji,zimamoto hao wote si askari polisi ijapokuwa kazi yao inaendana na ya polisi(Law enforcement).Kulingana kwa majina ya vyeo haimanishi hizi ni idara zinazoendana,nchi kama South Africa,polisi hutumia vyeo vya kijeshi(Luteni,capt,kanali...)sasa hapa utasema kisa polisi wanatumia ranks za kijeshi nao waitwe Miltary?

Police officers,correction officers,firefighters,immigration officers are not the same.
Turudi kdg kwenye Katiba ya TZ, kwa mujibu wa Katiba ya TZ polisi ni Wanajeshi, hapo unasemaje Kaka?
 
Back
Top Bottom