Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu jeshi la zimamoto kwa ambaye ana fahamu

Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu jeshi la zimamoto kwa ambaye ana fahamu

Sawa Sawa....nauliza zimamoto wametaka watu wenye certificates vipi ukitaka kujiendeleza kielimu mfano mtu wa maabara/ daktari akitaka kujiendeleza wanaruhusu..?? Na hao watu wa afya wanafanya kazi kivipi yan kuna hospitali kama ilivo magereza na polisi au ipoje hiii...
Labda mtafundishwa kutoa huduma ya kwanza under pressure
Maana nahisi team inatakiwa ikamilike mkiingia mzigoni mnakua kama SEAL TEAM.
 
Amna tupo ni jukwaa la kuchangia na kutoa mchango ili tufumbuliwe macho
 
Vipi wakuu hawa zimamoto na magereza wametoa nafasi kwa kada za ualimu wa sayansi Chemistry, biology na physics wanashule au unaajiliwa kawaida2 maana najuaga JWTZ ndo huaga na shule ufafanuzi
 
Vipi wakuu hawa zimamoto na magereza wametoa nafasi kwa kada za ualimu wa sayansi Chemistry, biology na physics wanashule au unaajiliwa kawaida2 maana najuaga JWTZ ndo huaga na shule ufafanuzi

Magereza shule ninayofahamu ipo moja ya olevel....nafikir ipo pwani vile kama kumbukumbu zangu zipo sahihi
 
Leo ni ijumaa 15.09.2021.

Let the game begin.
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ndugu mm mwenyewe nolikuja sikia tu watu wwmefanya usaili tayari,sijui level gani ila walifanya usaili
Nilipita makao makuu wiki iliyo isha waniambia kwa ngazi ya form six bado usahili tunge itwa wiki iliyo isha asa sijui tuendelee kuvuta subira
 
Back
Top Bottom