Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu jeshi la zimamoto kwa ambaye ana fahamu

Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu jeshi la zimamoto kwa ambaye ana fahamu

Turudi kdg kwenye Katiba ya TZ, kwa mujibu wa Katiba ya TZ polisi ni Wanajeshi, hapo unasemaje Kaka?
Ongezea na, Police force and auxiliary service Act, Wildlife Preservation Act, Peoples militia Act, Prevention and Combating of Corruption Act, Police General Order, Tanzania Intelligence and Security Service Act, Military Court Act, Fire and rescue Service Act.
 
Sorry lakin je mishahara Yao ikoje maana nataka nisimamishe masomo ya chuo kwa ajiri ya hiyo kazi Sasa ndio nataka ni bet
Ushauri wangu kama una vigezo omba ukipata ingia ukikosa endelea na chuo.
 
Jf ni uwanja wa elimu.Ngoja nikupe elimu.

Askari wa magereza,uhamiaji,zimamoto hao wote si askari polisi ijapokuwa kazi yao inaendana na ya polisi(Law enforcement).Kulingana kwa majina ya vyeo haimanishi hizi ni idara zinazoendana,nchi kama South Africa,polisi hutumia vyeo vya kijeshi(Luteni,capt,kanali...)sasa hapa utasema kisa polisi wanatumia ranks za kijeshi nao waitwe Miltary?

Police officers,correction officers,firefighters,immigration officers are not the same.
Are the same.Mfano hata Katiba yetu ya mwaka 1977 na marekebisho yake imesema mwanajeshi ni Askari yoyote kutoka JWTZ,PT,MT nk.
 
Mishahara ya Tasisi za Kijeshi kama hii ZT hutofautiana kulingana na elimu ya Askari,mfano unaweza kukuta shahada ya udaktari PT anakinga 1.5 na stashahada akakinga 900k.

Ni hayo tu.
 
Mwenye tangazo la ajira zimamoto tafadhali naomba
 
Mishahara ya Tasisi za Kijeshi kama hii ZT hutofautiana kulingana na elimu ya Askari,mfano unaweza kukuta shahada ya udaktari PT anakinga 1.5 na stashahada akakinga 900k.

Ni hayo tu.
Diploma 570k degree 720k udaktari degree anaenda mpaka 1.8m na engeneer...
 
Ila niliomba kazi zote mbili magereza pamoja na idara ya uhamiaji ngoja nisubirie kama ita tike
 
Mishahara ya Tasisi za Kijeshi kama hii ZT hutofautiana kulingana na elimu ya Askari,mfano unaweza kukuta shahada ya udaktari PT anakinga 1.5 na stashahada akakinga 900k.

Ni hayo tu.

Hio 900k inakujaje fafanua mkuu...maana serikalini daktari diploma ni 540k
 
Back
Top Bottom