man of sun
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 329
- 460
Kama kazi ni ya uhakika acha kusoma,utasoma mbelembeleeSorry lakin je mishahara Yao ikoje maana nataka nisimamishe masomo ya chuo kwa ajiri ya hiyo kazi Sasa ndio nataka ni bet
Polisi wote mishahara inafanana?
Kwa ufahamu wangu Polisi wote mishahara yao inafanana, so Kama unajua mishahara ya Magereza au Polisi Tanzania ndo hiyo hiyo ya Zimamoto
Labda sijaeleweka kdg, sijamaanisha kwamba polisi wote mishahara inafanana kwamba kila polisi mishahara inafanana, nlichomaanisha Majeshi yote ya Polisi (PT, MT, UT, ZT) kwa rank sawa salary scale zao ni sawaPolisi wote mishahara inafanana?
Askari magereza au zima moto hao wote sio police officers.Jifunze,uelewe.
Kwa ufahamu wangu Polisi wote mishahara yao inafanana, so Kama unajua mishahara ya Magereza au Polisi Tanzania ndo hiyo hiyo ya Zimamoto
Wote ni polisi tu hao, ndo Mana hata vyeo vyao vinafanana, ulienda PT Mwenye nyota mfano anaitwa Assistant Inspector, ukienda MT anaitwa hivo hivo, hao wote ni mapolisi Ila wa Kaz tofauti tu, amini hivyoAskari magereza au zima moto hao wote sio police officers.Jifunze,uelewe.
Ushituke sana hata Mgambo ni Police officer mzee tena sheria kabisa inamtaja hivyo itategemea tu atakuwa anafanya nini muda huo. Mgambo ni sawa na konstabo wa polisi.Askari magereza au zima moto hao wote sio police officers.Jifunze,uelewe.
Jf ni uwanja wa elimu.Ngoja nikupe elimu.Wote ni polisi tu hao, ndo Mana hata vyeo vyao vinafanana, ulienda PT Mwenye nyota mfano anaitwa Assistant Inspector, ukienda MT anaitwa hivo hivo, hao wote ni mapolisi Ila wa Kaz tofauti tu, amini hivyo
Asante kwa SoMo Kaka.Jf ni uwanja wa elimu.Ngoja nikupe elimu.
Askari wa magereza,uhamiaji,zimamoto hao wote si askari polisi ijapokuwa kazi yao inaendana na ya polisi(Law enforcement).Kulingana kwa majina ya vyeo haimanishi hizi ni idara zinazoendana,nchi kama South Africa,polisi hutumia vyeo vya kijeshi(Luteni,capt,kanali...)sasa hapa utasema kisa polisi wanatumia ranks za kijeshi nao waitwe Miltary?
Police officers,correction officers,firefighters,immigration officers are not the same.
Turudi kdg kwenye Katiba ya TZ, kwa mujibu wa Katiba ya TZ polisi ni Wanajeshi, hapo unasemaje Kaka?Jf ni uwanja wa elimu.Ngoja nikupe elimu.