jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
Je kukopa mikopo inaruhusiwa baada ya mda gani ..Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ni Jeshi lililo wizara ya mambo ya ndani sawa na polisi,magereza na uhamiaji hivyo majeshi haya yote mishahara ya na posho vinafanana na kusoma ni mpaka umalize miaka mitatu kazini.
Magereza sijajua madaktari sh ngapi lkn nimekaa lain ya magereza mpwapwa -Dodoma kuna jamaa yupo pale ana degree ya procurement and supply analipwa 750000 mshahara sijajua kwa degree zingine hiziVipi upande wa magereza mkuu, wenye fani (degree) mfano kilimo?
Magereza sijajua madaktari sh ngapi lkn nimekaa lain ya magereza mpwapwa -Dodoma kuna jamaa yupo pale ana degree ya procurement and supply analipwa 750000 mshahara sijajua kwa degree zingine hizi
Hapo sijajuaHivi magereza wana hospitali nyingiii au ipoje hii kwamba watafanya kazi kwenye hospitali zao.?
OkMagereza sijajua madaktari sh ngapi lkn nimekaa lain ya magereza mpwapwa -Dodoma kuna jamaa yupo pale ana degree ya procurement and supply analipwa 750000 mshahara sijajua kwa degree zingine hizi
Magereza ni hivyo hivyo kilimo ni sayansi naic unaenda uko uko m na ki2 hapo hujaweka posho na ya vinywaji.Vipi upande wa magereza mkuu, wenye fani (degree) mfano kilimo?
Na kozi za kupanda cheo Askari mpya anaweza kuchaguliwa kwenda baada ya muda gani kazini?Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ni Jeshi lililo wizara ya mambo ya ndani sawa na polisi,magereza na uhamiaji hivyo majeshi haya yote mishahara ya na posho vinafanana na kusoma ni mpaka umalize miaka mitatu kazini.
Ni miezi 8 kazini unakopa.Je kukopa mikopo inaruhusiwa baada ya mda gani ..
Magereza wana dispensary karibu kila gereza.Hivi magereza wana hospitali nyingiii au ipoje hii kwamba watafanya kazi kwenye hospitali zao.?
Magereza wana dispensary karibu kila gereza.
Ahsante hivi na kwa hawa waajiliwa wa elimu ya kawaida kwenye mikopo MTU anaweza kopa kuanzia kiasi gani cha pesaNi miezi 8 kazini unakopa.
Kumi na...Ahsante hivi na kwa hawa waajiliwa wa elimu ya kawaida kwenye mikopo MTU anaweza kopa kuanzia kiasi gani cha pesa
Cheo ni popote ni miaka mi4 au mi3 ila inategemea na uongozi wa nchi.Na kozi za kupanda cheo Askari mpya anaweza kuchaguliwa kwenda baada ya muda gani kazini?
Zimamoto wanapiga course mkoa gani?
Na training yao inachukua muda gani?
Pia ni mafunzo gani wanapata kama kuogelea labda kuluka na parachute qu kushuka/kupanda kamba(in case gorofa laungu)
Kwa anaejua atujuze vijana.
Kozi inapigiwa Tanga wilaya ya Handeni kijiji cha Chogo mwaka huu muda wa kozi imeandikwa miez tisa japo miaka iliyopita ilikuwa wakitoa jkt wanapiga hata miez miwili 2 kuhusu mafunzo ni uzimaji moto na uokoaji na mafunzo mengne ya kijeshi.Zimamoto wanapiga course mkoa gani?
Na training yao inachukua muda gani?
Pia ni mafunzo gani wanapata kama kuogelea labda kuluka na parachute qu kushuka/kupanda kamba(in case gorofa laungu)
Kwa anaejua atujuze vijana.
Kozi inapigiwa Tanga wilaya ya Handeni kijiji cha Chogo mwaka huu muda wa kozi imeandikwa miez tisa japo miaka iliyopita ilikuwa wakitoa jkt wanapiga hata miez miwili 2 kuhusu mafunzo ni uzimaji moto na uokoaji na mafunzo mengne ya kijeshi.
Kujiendeleza mpaka umalize miaka mi3 kazn hospital kwa sasa hawana labda utapelekwa chuoni kwao ndio kuna dispensary...Sawa Sawa....nauliza zimamoto wametaka watu wenye certificates vipi ukitaka kujiendeleza kielimu mfano mtu wa maabara/ daktari akitaka kujiendeleza wanaruhusu..?? Na hao watu wa afya wanafanya kazi kivipi yan kuna hospitali kama ilivo magereza na polisi au ipoje hiii...
Kujiendeleza mpaka umalize miaka mi3 kazn hospital kwa sasa hawana labda utapelekwa chuoni kwao ndio kuna dispensary...