bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Labda mtafundishwa kutoa huduma ya kwanza under pressureSawa Sawa....nauliza zimamoto wametaka watu wenye certificates vipi ukitaka kujiendeleza kielimu mfano mtu wa maabara/ daktari akitaka kujiendeleza wanaruhusu..?? Na hao watu wa afya wanafanya kazi kivipi yan kuna hospitali kama ilivo magereza na polisi au ipoje hiii...
moja 2 ndio maana nafasi za afya wametoa chache.Hapo nimekuelewa vyema...kwahio dispensary wanayo moja tu apo chuoni.?
Vipi wakuu hawa zimamoto na magereza wametoa nafasi kwa kada za ualimu wa sayansi Chemistry, biology na physics wanashule au unaajiliwa kawaida2 maana najuaga JWTZ ndo huaga na shule ufafanuzi
Vipi zimamoto naoMagereza shule ninayofahamu ipo moja ya olevel....nafikir ipo pwani vile kama kumbukumbu zangu zipo sahihi
Vipi zimamoto nao
Zimamoto wana chuo kipo ilalaVipi zimamoto nao
Zimamoto wana chuo kipo ilala
Leo ni ijumaa 15.09.2021.
Let the game begin.
[emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu ni deadline ya kuapply ajira za zimamoto,maanake baada ya hapo ndio tunasubiria mkeka wa usailiUna maanisha nn mkubwa
Mkuu ni deadline ya kuapply ajira za zimamoto,maanake baada ya hapo ndio tunasubiria mkeka wa usaili
Mkuu ni deadline ya kuapply ajira za zimamoto,maanake baada ya hapo ndio tunasubiria mkeka wa usaili
Ndugu mm mwenyewe nolikuja sikia tu watu wwmefanya usaili tayari,sijui level gani ila walifanya usailivipi tulio omba kwa elimu ya form six je usahili bado tuu. Tujuzane tusije pishana na gari la mshahara
Nilipita makao makuu wiki iliyo isha waniambia kwa ngazi ya form six bado usahili tunge itwa wiki iliyo isha asa sijui tuendelee kuvuta subiraNdugu mm mwenyewe nolikuja sikia tu watu wwmefanya usaili tayari,sijui level gani ila walifanya usaili
Ndugu mm mwenyewe nolikuja sikia tu watu wwmefanya usaili tayari,sijui level gani ila walifanya usaili