Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

All the best mkuu lkn kama utakuwa na muda wa kuwepo ni vema na wewe ujajiweka kwenye wafanyakazi wa fundi ili kwanza kupunguza gharama na kulinda vifaa vyako kwa janja janja.. na pia kusimamia kazi yako mwenyewe
 
Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Big up man. Maisha ni nyumba
 
Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo

so unadhani mpaka kukamilisha unaweza kutumia million ngapi? nauliza maana na mie nilikuwa na mpango wa kujenga two bedroom house.
 
so unadhani mpaka kukamilisha unaweza kutumia million ngapi? nauliza maana na mie nilikuwa na mpango wa kujenga two bedroom house.
Finishing hadi sasa imekula million 7 ambayo ni plaster nje na ndani, blundering bila gypsum na shimo LA choo ndogo. Lakini hapo material kwa ajili ya skimming na Rangi tayari. Nahitaji million 3 au 4 kukamilisha hadi Umeme. So jumla itakuwa kwenye Million 22 au 23

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok so kwa ujumla tuseme niwe na m25 hivi ndio nitakamilisha ujenzi
 
Kuna kampuni wanaitwa VIGUTA wapo pale clock tower, hawa unaweza jengewa hiyo ramani ulosema kwa milioni 7 ,kisha ukalipa ndani ya miaka mitano. Wacheki kwa 0767252290
Bado wanakopesha, 20 kwa 20 ,laki sita
 
Cheki hizo hapo chini
 
Attachments

  • IMG_20180827_152541.jpg
    71.5 KB · Views: 63
  • IMG_20180827_152507.jpg
    68.2 KB · Views: 59
  • IMG_20180814_085215.jpg
    84.5 KB · Views: 57
  • IMG_20180813_080713.jpg
    86.7 KB · Views: 56
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…