Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Inawezeka na aiseeMuda ulitoka ndio mifuko ya simenti inafukiwa ardhini pamoja na nondo na bati. Hawahamishi. Wanazika chini fasta sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezeka na aiseeMuda ulitoka ndio mifuko ya simenti inafukiwa ardhini pamoja na nondo na bati. Hawahamishi. Wanazika chini fasta sana.
Nipo nae hapa natoa macho balaaBado fundi umeme hajakuibia waya. Ukienda kununua vifaa naye. Kumbuka kesho atakwenda kuuza nusu ya hivyo vitu kwa bei ya kutupa hapo hapo mliponunulia
Big up man. Maisha ni nyumbaNimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
WEka na ramani basi MkuuIyo itatosha kujenga 1 master na sitting room na jiko la kiskaji kama hiiView attachment 813237
Halafu nyumba ni choo. Si ujenge choo moja kwa moja....shortcutBig up man. Maisha ni nyumba
We toa macho tu. Waya mtanunua roll tatu...mahitaji kamili ni moja na nusu. Ni vingine vingi
Ngoja tuone mwisho wakeWe toa macho tu. Waya mtanunua roll tatu...mahitaji kamili ni moja na nusu. Ni vingine vingi
Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Finishing hadi sasa imekula million 7 ambayo ni plaster nje na ndani, blundering bila gypsum na shimo LA choo ndogo. Lakini hapo material kwa ajili ya skimming na Rangi tayari. Nahitaji million 3 au 4 kukamilisha hadi Umeme. So jumla itakuwa kwenye Million 22 au 23so unadhani mpaka kukamilisha unaweza kutumia million ngapi? nauliza maana na mie nilikuwa na mpango wa kujenga two bedroom house.
Finishing hadi sasa imekula million 7 ambayo ni plaster nje na ndani, blundering bila gypsum na shimo LA choo ndogo. Lakini hapo material kwa ajili ya skimming na Rangi tayari. Nahitaji million 3 au 4 kukamilisha hadi Umeme. So jumla itakuwa kwenye Million 22 au 23
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuuok so kwa ujumla tuseme niwe na m25 hivi ndio nitakamilisha ujenzi
Bado wanakopesha, 20 kwa 20 ,laki sitaKuna kampuni wanaitwa VIGUTA wapo pale clock tower, hawa unaweza jengewa hiyo ramani ulosema kwa milioni 7 ,kisha ukalipa ndani ya miaka mitano. Wacheki kwa 0767252290
wacha nikajipange
Si ndo hiyo nimekutumia kwa ofa ya bure
Hiyo haina public ina self mbili ko mambo ya public ni nje,cheki hii ya chini ina public but ni ya njeMhona sioni public toilet?