Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
kwema wakuu,

Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani.

Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
 
Suala la ununuzi wa ardhi ni Mchakato Mrefu sana unaohusiha utaalamu wa aina mbalimbali (wa Kisayansi na Sanaa). Siyo kila mtu anaweza kufanya. Ni taaluma ya utafiti wa kina sana, usipofuata Kanuni zake matokeo yake huwa ni mabayq na machungu sana.
Chukua tahadhari kubwa, "Buyer Beware."
 
Mtu kaomba muongozo,, wewe unamwambie afuate kanuni sasa si ndo umuoambie hizo kanuna afuate
 
Ingia google andika nataka kununua kiwanja bila kutapeliwa/ jamii forum utapata majibu ya swali lako.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…