BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Bila picha ushauri hauwezekaniHabarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Heheeeee.. Fanya mpango urudi 60Utanenepa tu mimi sikuwahi zidi kilo 60 mara nyingi nlikuwa na kilo 58 ila sasa nauchukia mwili nilionao. Kuna kipindi hata nlitaka kunumua dawa za kuongeza hamu ya kula lakini sikununua sasa nmenenepa nimekuqa mzembe sana
sijui kama ni utani lakini kama uko serious kafanye mazoezi ya uzito/chuma kuanzia miguuni mpaka bench. Utaongeza musuli. Usiongeze mafuta mwilini kwa kula kula ovyo itafupisha maisha yako huu ni ushauri. Linda sana mgongo wako wakati wa mazoezi na kwenye vioungo kama mikono na miguu hakikisha haunyoshi mpaka mwisho usije kuaribu jointsHabarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Unene unakuja ukila hivi.Habarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Mwenzangu nishajaribu kufanya mazoezi lakini nikifanya leo kesho sirudii. Kupungua kumbe kaziHeheeeee.. Fanya mpango urudi 60
Kazi ila ukiamua inawezekana.... Ngoja nikufuate nikupe trick [emoji23][emoji23]Mwenzangu nishajaribu kufanya mazoezi lakini nikifanya leo kesho sirudii. Kupungua kumbe kazi
Nipe mkuu maana nmekuwa mzembe sana yani nikikumbuka before nilivyokuwa sina mwili lakini flexible natamaniKazi ila ukiamua inawezekana.... Ngoja nikufuate nikupe trick [emoji23][emoji23]
Mie huwa naamua tu kujipunguza bila stress wala mazoez.. Mazoez siwezi mie mvivu sana... Sina consistencyNipe mkuu maana nmekuwa mzembe sana yani nikikumbuka before nilivyokuwa sina mwili lakini flexible natamani
Wewe kama mimi yani nmekuwa mvivu sanaMie huwa naamua tu kujipunguza bila stress wala mazoez.. Mazoez siwezi mie mvivu sana... Sina consistency
Ee bhanaπ€£π€£ndio hivi kumbe
Unajua nimekimiss sana?Usijali,we kuwa tu na hela mie njaa itauma Kwa niaba yakoπππ
Hiyo dawa itaje kwa faida ya wengineNipigie au nichek whatapp 0786426284 nikupe dawa itakuongezea appetite ya kula na utanenepa mstokeo yake week tu