Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Hivyo ndivyo ulivyo tamaa za nini?? unatuona vibonge tunafaidi sana hizo tamaa zenu ndio zinafanya kutamani wake za watu.
 
Utanenepa tu mimi sikuwahi zidi kilo 60 mara nyingi nlikuwa na kilo 58 ila sasa nauchukia mwili nilionao. Kuna kipindi hata nlitaka kunumua dawa za kuongeza hamu ya kula lakini sikununua sasa nmenenepa nimekuqa mzembe sana
Heheeeee.. Fanya mpango urudi 60
 
Habarini wana JF,

Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?

Nahitaji kunenepa.
sijui kama ni utani lakini kama uko serious kafanye mazoezi ya uzito/chuma kuanzia miguuni mpaka bench. Utaongeza musuli. Usiongeze mafuta mwilini kwa kula kula ovyo itafupisha maisha yako huu ni ushauri. Linda sana mgongo wako wakati wa mazoezi na kwenye vioungo kama mikono na miguu hakikisha haunyoshi mpaka mwisho usije kuaribu joints
 
Habarini wana JF,

Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?

Nahitaji kunenepa.
Unene unakuja ukila hivi.
Asubuhi mayai mawili mkate slace 4 upande blueband upande peanut butter na chai nzito ya maziwa.
Mchana piga kitimoto kilo, ndizi mbili na coke ya baridiii.
Usiku nenda kama pale kisutu agiza ndizi mzuzu na kuku nusu mfute mwenyewe.

Katikati ya hiyo milo kunywa juice za matunda na maji. Vi cake visikosekane hapo.

Hakikisha kwa wiki kitimoto unakula mara 4 ukiweza kula kila siku nakupa 3 weeks utakua umeongezeka sana.
 
Kitu Cha Kwanza inatakiwa ,upime kilo zako za uzito wa Sasa ,na urefu wako ,baada ya hapo ,zitatafutwa energy(nishati) inayotumika kufanya kazi katika mwili wako , kujua kiasi gani unaunguza ukiwa umetulia au katika stress,pia shughuli unazofanya kila siku ikiwemo Kama kuna aina ya mazoezi unafanya ,aina /historia ya vyakula unavyotumia mara kwa Mara, baada ya hapo Clinical dietitian atakupangia njia sahihi ya kuongeza uzito salama kwa kukupangia mlo tiba ambao utasaidia angalau kuongezeka kilo moja au nusu kilo kwa wiki ,pia kuna supplement kama whey protein ,au creatinine phosphate ,Glutamine supplement unaweza tumia kwa msaada zaidi mtafute clinical dietitian for safe weight gain and loss including exercise prescription
 
Nipe mkuu maana nmekuwa mzembe sana yani nikikumbuka before nilivyokuwa sina mwili lakini flexible natamani
Mie huwa naamua tu kujipunguza bila stress wala mazoez.. Mazoez siwezi mie mvivu sana... Sina consistency
 
Kula kila kitu, hovyo hovyo, kunywa pombe, kunywa maziwa, kula nyama choma, kula kama nguruwe au kuku wa kisasa, kula kila wakati, penda kukaa karibu na Msechu au kukaa na wanawake waneneeee kama Sinyali etc, kulaaaaa kulaaaaa, uji wa virutubisho kulaaa, hakikisha huna minyoo au tatizo tatizo lolote la tumbo kama vidonda au acid nyingi, nunua vitamin B complex kwa wingi, kulaa kulaaaa kama bata, kula kulaa kama kichaa au fisi umesikia? 😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Nipigie au nichek whatapp 0786426284 nikupe dawa itakuongezea appetite ya kula na utanenepa mstokeo yake week tu
 
Back
Top Bottom