Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

Hii imeenda kaka...
 
Diet ! Diet !Diet plus mazoezi ya kawaida hasa kutembea umbali mrefu na kunywa maji mengi ila inahitaji moyo nakumbuka kuna kipindi nilifikisha kilo 89 ila kwa nilivyoji restrict zikashuka hadi 83 ndani ya miezi miwili na zinazidi kupungua cha msingi.

Epuka matumizi ya sukari nyingi hasa vinyaji ikiwezekana achana navyo kabisa , punguza vyakula vya wanga , kula mboga mboga na matunda kwa wingi , kunywa maji mengi , kula vyakula vya protini kwa wingi i.e maharage, samaki, mayai na e.t.c

Pendelea mazoezi ya kukimbia , push ups kata tumbo na squirt , tembea umbali mrefu , epuka kukaa kaa kizembe yaani ile unakula kisha unakaa kuangalia movie .

IN SHORT FANYA KAZI ZA KUUSHUGHULISHA MWILI ILA UKISHINDWA KABISA TAFUTA MWANAMKE PSYCHO ANAYEPENDA MIKOPO KISHA OA NDANI YA MWEZI TU UMEKUWA MOJA .
 
Jamaa una kitambi mvurugo. Nenda kakope mkopo wa kausha damu au chupi mkononi kitaisha hiko chenyewe tu
 
Mkuu umeweka na picha kabisa?
 
Mchawi wa unene ni chakula, mazoez ni sehem ndogo sana ya kupunguza mwili, imagine unafanya maxoez then unakuja kula kile ulichopunguza kweny mazoez,


Asubuhi kula ushibe ila mchan usile na usiku kula kidgo sana mf usiku unaweza kula chapat mbili ukalala
Ila linda sana chakula ukifhibiti chakula umedhibiti mwili, mazoez sawablkn kikubwa chakula
 
Ni mimi namuona wa kawaida tu au sielewi? Acha kujichukia, mwili wako si mbaya hata, kikubwa fanya mazoezi ujenge muscles, nyama zikaze na matiti yaondoke. Jitahidi kukimbiza upepo walau asubuhi au jioni. Punguza uroho wa chakula, kuna muda sema tu enough is enough, kula kula kunaponza sana.

And be kind to yourself, acha kujipa majina mabaya sijui kiazi sijui nini.
 
Vitambi au??
 
Asante sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…