Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ufuate huo muongozo aliotuma jamaa hapo juuAsante kaka..
Asante sana..Nikiwa na miaka 10++ nilikuwa mnene sana ila baada ya kuingia boarding nilipungua sana.. kilichonikuta ni limit ya chakula nilichokuwa nakula, maana asubuhi ni uji mkavu, mchana ugali na haushibi, usiku ni ugali na haushibi kivile (wale tulosoma shule za katoliki maharage kama Karanga), nachotaka kusema ni kuwa kupunguza mwili hakuna namna zaidi ya kuwa na discipline, jaribu kujiasses kwa siku unakula vyakula gani, na hakuna shortcut, kupunguza mwili ni jambo linalohitaji nidhamu sana
Pia jitahidi usinywe beverages kama soda, energy, apple punch n k hizo zinaongeza sana mwili asikwambie mtu
Kuhusu mazoezi usifanye mazoezi ya kujiumiza sana, mazoezi pekee ambayo ni salama ni jogging, jogging ya nusu saa deile inatosha kukufanya uwe na mwili wa kawaida kama ukimantain kwa mwezi mzima
Narudia tena hakuna shortcut ya kupunguza uzito inahitaji discipline ya kutosha
Asante kaka..Aisee tunatofautiana.
Mie nina KG 85 ila mwil wangu ni slim mtu huwez kuzania nina hizo kg.
My target nifike 90 kg alafu nianze mazoez ya Kunyanyua chuma nifitishe mwil vzr zaidi..
Kwa kesi yako mkuu hicho kitambi daah msaada wangu mkubwa ni ufanye mazoez ya tumbo kwanza.. pia ruka kamba.
Eeh ndo ivo kidogo tu umehisi njaa, mara jioni umejisogeza kwenye supu ya pweza, umetoka hapo umenunua karanga au korosho kwanini usiwe kibonge.Na kadri unavyonenepa na hamu ya kupenda kulakula inaongezeka
Kwanini kaka...
Haha..Eeh ndo ivo kidogo tu umehisi njaa, mara jioni umejisogeza kwenye supu ya pweza, umetoka hapo umenunua karanga au korosho kwanini usiwe kibonge.
Ndio maana wadada wengi mjini wana maumbo ya ajabu mno ni nguo tu zinawasaidia ila maumbo yao wakivua yanatisha.
Mazoezi yanakushinda? Halafu punguza kulaKhabari zenu,
Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.
Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.
Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.
Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).
Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.
Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.
Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.
Uzi na picha.
View attachment 2646189