Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kaka kwa kunitia moyo..Mkuu
Kwa ulichokifanya hapa, tayari umepungua, jinsi umeandika nikazani bonge la mtu kumbe hivyo?
Umeanza ku panic wakati sahihi kabisa so kazi ya kupungua itakuwa rahisi zaidi
Kupungua start from the will as sio kitu kirahisi but kanuni kuu ni 2 tu
1. Punguza sana kula, kunywa maji sana, matunda na mboga mboga acha kabisa sukari na wanga
2. Mazoezi ni lazima kwenye kupungua vizuri na si hiyari so acha kisingizio cha ratiba, mimi huwa nafanya mazoezi kishingo upande sana kuanzia 2000h mpaka 0900h
Mengine ngoja madaktari waje
Ni ratiba ya kula chakula ambayo unajiwekea baada ya masaa kadhaa....Ip0je hii kaka nielezee kwa ufupi tu...
Kuna jamaa yangu alikua na kilo 100+ kibonge na mrefu, kutembea ilikua shida ni yeye na boda/bajaji, hatua 10 tu anahema kama mbwa ulimi nje.Haha..
Asante sana kwa huu ushaur..Pole man!
Gta SASA kazi kwako!!
Agiza Tabora asali mbichi ndoo ya lita kumi au lita tano!
Chemsha maji ya moto au chai kama ni chai usiweke sukari!
KILA siku asubuhi na jioni weka vijiko vitatu au viwili kwenye maji Moto au chair YAKO isiyo na sukari koroga kunywa,
Jioni kunywa baada ya kula kiasi usile kupita kiasi HALAFU kunywa SASA mchanganyiko huo,asubuhi kunywa kabla ya kuswaki na kula chochote piga Kikombe kimoja kikubwa cha nusu lita au viwili vitatu vya KAWAIDA!kunywa KWA uwezo wako!!
Utaharisha mwanzoni,baadae utazoea na tumbo litaisha KABISA!UTAKUA normal!ukihisi kuu kunywa maji baridi kama kawa!!!!
UNaweza kuenda dakika 20 na bado usimfikishe,na pia jua tu keamba hata hao vimbaumbau wanalia na kuwahi kufika kileleni.Mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa.
Nimekuelewa sana...Samahani kwa kuchanganya jinsia...Ni ratiba ya kula chakula ambayo unajiwekea baada ya masaa kadhaa....
Inaweza kuwa masaa 8,12,24 nakuendele...
Ratiba hiyo utachagua ule nini...maana yake kuna baadhi ya milo utaacha kula...
Halafu mimi siyo Kaka Mkuu[emoji2]
Usijali....karibu..Nimekuelewa sana...Samahani kwa kuchanganya jinsia...
Kaka Nimekuelewa sana sana sana...UNaweza kuenda dakika 20 na bado usimfikishe,na pia jua tu keamba hata hao vimbaumbau wanalia na kuwahi kufika kileleni.
Matatizo binafsi uliyonayo usitupie lawama uzito wako,uzito hauna mahusiano na kuwahi kileleni.
NIJE KWEMYE MADA HUSIka.
1.jua tu kwamba hakuna chakula ambacho kinakufanya uwe mwembamba au mneno,vyakula vyote ni sawa.
2.kinachokufanya uoungue unene ni ile hali ya mwili kutumia mafuta yaliyohifadhiwa na kuyafanya ndio chanzo cha nishati,hayo mafuta ama (adipose tissue,fats) ndio yanakufanya uonekane mnene kama vile kitambi,manyonyo,mapaja na mikono hizo ndio sehemu mafuta hukaa sana.
so inshu kubwa ni kutafuta namna ambayo mwili utayatumia hayo mafuta kama chanzo cha nishati,..
Na je ni wakati gani mwili hutumia mafuta hayo ? Ni wakati ambao chakula cha tumboni hakitoshi kusambaza nishati mwilini.
JE ni kipi kitafanya chakula cha tumboni kisitoshe ?
a)kwa kufanya mazoezi makali kama kukimbia n.k huku ukila mlo wa kawaida ama ukipunguza kidogo,hiyo itafanya mwili utake nishati zaidi ili kufidia yale mazoezi.
B)usiwe unakula ovyo,yani unaweza amua ukala saa 8 mchana na unakula chakula chochote kwa kiasi kidogo tu then kula tena saa moja ausiku ama kesho,hiyo itafanya mwili uhitaji chakula ili upate nguvu na hapo ndio mafuta ya ziada yatachomwa na kwa baada ya muda utaanza kuona matokeo.
3.Discipline.Lazima uwe na msimamo wa kusimamia malengo yako lasivyo utaishia njiani.
Maisha umeyapatia ndio maana ungekuwa saidia fundi wala usingekuwa na futa uzembe.Khabari zenu,
Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.
Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.
Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.
Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).
Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.
Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.
Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.
Uzi na picha.
View attachment 2646189
Urefu wako upoje ?Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.
One meal a day akiweza kuona ni kawaida atadnjoy hiyo life style.Maisha umeyapatia ndio maana ungekuwa saidia fundi wala usingekuwa na futa uzembe.
Kula mlo mmoja tuu kwa siku na tembea nusu saa kila leo utapungua fasta usisahau na maji mengi. Achana na chips na pombe na majuice
ANaweza kukkpa lakini skawa anakatwa kwenye mshahara(muajiriwa) hivyo hatooungua.Kopa benk utakuja nishukuru
ACHA UONGO wanga hauongezi unenePunguza kula vyakula vya wanga na mafuta mengi, na pia usiku jitahidi uwe unakula matunda tu au mboga mboga hii inasaidia kwa haraka sana