Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

dah! Wakati Mimi ninnapambana walau niongeze hata kilo 2 tu,huku kuna mwingine anatamani kupunguza kilo.
Kila la heri mkuu,kama kilo zingekuwa zinahamishika,ningeomba unipunguzie
Duniani tunat0fautiana majanga... unal0litaka mwenzak0 halitaki..
 
Yaani Unywe Konyagi Ndiyo Mwili Upungue, Halafu Uvute Bangi
Ukatekeleza . Usiwe Kijana Wa Namna Hiyo
Kwenu Mna Huo Unene Ama Imetokea Kwako
Miili ya kawaida tu..
 
One meal a day akiweza kuona ni kawaida atadnjoy hiyo life style.

Kuna wajanja wanaita kushinda na njaa yani OMAD wanaitia majina mabaya ilimradi mtu akiifanya aone anateseka.

Lakini uukweli ni kwamba miili yetu kula mjlo mitatu tunafosi tu ila mlo mmoja kwa siku unatosha sana.(depends na activity ya mtu)
I agrree...milo mitatu ni kwa saidia fundi na high performance athletes lakini sie wakukaa tunachapa marimba ya mzungu hapa jf au ofisini mlo mmoja tuu unatosha
 
I agrree...milo mitatu ni kwa saidia fundi na high performance athletes lakini sie wakukaa tunachapa marimba ya mzungu hapa jf au ofisini mlo mmoja tuu unatosha
Haha
 
Maisha umeyapatia ndio maana ungekuwa saidia fundi wala usingekuwa na futa uzembe.
Kula mlo mmoja tuu kwa siku na tembea nusu saa kila leo utapungua fasta usisahau na maji mengi. Achana na chips na pombe na majuice
Sawa kaka
 
Umesahau kitu kingine, we mfupi kama chupa cha coca ila ndogo ya jero
 
Duh pole sana huo mwili ukizingatia unapungua haujafikia papaya
Amka saa 11 alfajiri fanya jogging walau 5km kila siku ukishindwa asubuhi fanya jioni

Punguza/acha kabisa vyakula vya wanga,sukari na mafuta.....hapa bia ipo included
zingatia hayo utaona matokeo...kuhusu mechi sikiliza ushauri wa wanaume wenzio...
 
Mazoezi hayanishindi ila mipangili0 ya kazi inafanya nak0sa maz0ezi...Naondoka home sa 11 alfajili narudi sa 4 usiku ila kazi ninay0fanya ni kukaa kwenye kiti tu..
Sisi tukusaidieje?
 
Khabari zenu,

Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.

Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.

Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.

Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).

Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.

Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.

Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.

Uzi na picha.

View attachment 2646189
Hayo mambo ya kupunguza miili sisi wanawake ndo ma proo wa hizo kazi.usijali hapo tatizo limeisha nakupa mwezi mmoja tu utakuwa umebaki njiti.we ukiamka asubuhi chemsha maji sagia tangawizi kiasi chuja kwenye kikombe kamulia limao kunywa .usinywe chai kabisa mchana unaweza kula kidogo tu na jioni kidogo pia.cha msingi we sahau kuhusu chai achana na soda na vilevi . Mwezi mmoja tu
 
Khabari zenu,

Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.

Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.

Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.

Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).

Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.

Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.

Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.

Uzi na picha.

View attachment 2646189
20% ya weight loss ni mazoezi, 80% ni discipline kwenye ulaji ndo maana wapo watu wana attend Gym daily lkn hakuna matokeo chanya sawa na mategemeo yao, hii ni kwa sababu wamekosa nidhamu ya kudhibiti namna ya ulaji.

Kwa kuwa muda wako wa utafutaji unakubana kufanya mazoezi komaa na 80% ya nidhamu ya ulaji kama ifuatavyo;

Tumia njia ya ulaji ya pyramid kwamba kadri unavyokaribia masaa ya kulala ndivyo upunguze wingi Volume ya chakula. Hata hivyo volume hiyo isiwe ile uliyozoea kawaida kwamba lzm sahani iwe mlima. Best practice ni usk kula matunda pekee ndani ya mwezi utakuwa umekata hata 5kg

Sambamba na hilo Punguza kbs matumizi ya vyakula vya wanga, sukari vyakula vya kukaanga incl. Junk food, kula kwa wakati maana kuchelewa kula kunasababisha kula kilichopo na si unachokihitaji, Punguza au acha kbs kwa muda pombe hasa beer, soda na juice zote zenye sukari hasa zioe za viwandani lengo likiwa kujitathimini!

Ukipata walau 30min kimbia/tembea umbali hata wa km 3 kwa kuanzia awali itakuwa shida but as u go on itakuwa ni tabia na utanza ku enjoy that kind of lifestyle!

Haya ninayokwambia nimeyaishi na nimefanikiwa sana kwa ss nacontrol BMI iko vzr sana 22.3 which is btw the range!

NB
Asikudanganye mtu kuna dawa ya kupunguza uzito.. ni uongo only nidhamu ya kula na nidhamu ya mazoezi pia!
 
Back
Top Bottom