Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

🙌😂😂😂 Ila maisha haya nyie. Me natamani niongezeke kidogo eti.

Mazoezi usiache endelea huku ukifata ushauri wa wadau hapo kuhusu mtindo wa maisha yako. Upande wa ulaji.

Ukifanya mazoezi unaweza usipungue ila ukaweza kuumudu mwili. Ukawa mwepesi.
 
Ukipata Likizo njoo Pangani ushike jembe au tuvue samaki uzito utakata ndani ya wiki ingawa utakula milo 3 chakula kisicho na mafuta
 
Unaweza kula mala moja kwa siku.

Nilifanya hii kitu mimi, kula mala moja kwa siku.
Saa moja jioni nikila ndio imeisha hiyo hadi kesho tena saa moja jioni.

Mwezi mmoja tu suruali zote ziliacha kunitosha.
Naamin uligraduate swala lako ukiwa natatizo jingine la ulcers
 
Khabari zenu,

Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.

Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.

Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.

Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).

Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.

Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.

Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.

Uzi na picha.

View attachment 2646189
Doh pole mkuu
Naona chuchu sasa zinavimba. Unene ni janga

Usile vyakula vizito usiku. Chai inakutosha kabla ya kulala
 
Ni ratiba ya kula chakula ambayo unajiwekea baada ya masaa kadhaa....

Inaweza kuwa masaa 8,12,24 nakuendele...

Ratiba hiyo utachagua ule nini...maana yake kuna baadhi ya milo utaacha kula...

Halafu mimi siyo Kaka Mkuu[emoji2]
Mtoto wakike unajiitaje majina yakienyeji hivyo ona sasa unakosa bahati huko pm
 
Khabari zenu,

Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.

Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.

Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.

Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).

Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.

Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.

Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.

Uzi na picha.

View attachment 2646189
Bro kama unatumia pombe, bhasi acha.
Lakini pia sidhani kama kuna hiari ya mazoezi kama unataka kupunguza mwili.
Hapo lazima tu uwajibike kimazoezi mkuu.
 
wewe ndio safi sasa yani nakubebe juju mechi inanza kitandani hadi jikoni jukwaju hakuna kutua chini.

pole lakini jaribu kunywa uji wa lishe ata utakusaidia
Yah,Niko kwenye ratiba ya uji wa lishe,kuna mdau pia alinishauri hilo
 
CHAKULA CHAKULA CHAKULA

pendelea Tikiti Maji,lifanye Tunda lako Pendwa kuanzia sasa

Kula Mlo 1 kwa siku na sio lazima kula pale inapobidi tu,ukisikia njaa sana,Jikaze

Usiupe mwili unachotaka,njaa ikikomaaa sukumia maji,Muhimu usikae na kiu

njaa itakusumbua siku mbili tu za mwanzo huko mbeleni mwili wenyewe uta cope,hutoskia njaa..

Acha sukari,Wali na Ugali sahau (wanga kwaujumla) Narudia tena Chakula chako kiwe Tikiti Maji.
 
Yah,Niko kwenye ratiba ya uji wa lishe,kuna mdau pia alinishauri hilo
pata uji wa lishe wenye karanga mbegu za maboga mahindi ya njano ulezi mtama kidogo soya uweke prestige blue band ,maziwa fresh,asali pata na kipande cha mkate na yai la kukanga asubui saa nne pata kitu chochote kama mtori,punguza kidogo matembezi kwa mguu ..mchana kula kawaida weka na juice ya embe saakumi pata nusu lita ya chai ya maziwa saa moja na nusu pata msosi wako kawaida .miezi mitatu utanambia
 
Khabari zenu,

Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.

Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.

Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.

Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).

Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.

Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.

Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.

Uzi na picha.

View attachment 2646189
Huo ni mwili wa chakula tuuu.yaani wewe ni mtu unayependa kula kula sana.Matibabu yako yapo hapo tu wala usitafute mchawi.na ukichelewa tuu kuzingatia utapata matatizo mengine soon
 
Back
Top Bottom