Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

Aisee tunatofautiana.

Mie nina KG 85 ila mwil wangu ni slim mtu huwez kuzania nina hizo kg.

My target nifike 90 kg alafu nianze mazoez ya Kunyanyua chuma nifitishe mwil vzr zaidi..


Kwa kesi yako mkuu hicho kitambi daah msaada wangu mkubwa ni ufanye mazoez ya tumbo kwanza.. pia ruka kamba.
 
Duh! Hapo kukimbia huwez kaka? Mana ukitaka asubuhi na mbio km 5 mwez wako mmoja tu. Kwisha kaz
Ubize wa kazi kaka siunajua Tunafanya kazi kwenye ofisi za watu ili kupata riziki...
 
Asante sana..
 
Asante kaka..
 
Na kadri unavyonenepa na hamu ya kupenda kulakula inaongezeka
Eeh ndo ivo kidogo tu umehisi njaa, mara jioni umejisogeza kwenye supu ya pweza, umetoka hapo umenunua karanga au korosho kwanini usiwe kibonge.

Ndio maana wadada wengi mjini wana maumbo ya ajabu mno ni nguo tu zinawasaidia ila maumbo yao wakivua yanatisha.
 
Fanya intermittent fasting....

Ni nzuri na matokeo utayaona kwa haraka..
 
Haha..
 
Mazoezi yanakushinda? Halafu punguza kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…