Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Hawa wanyama ni wema na ni rafiki kwetu sisi binadamu
Lakini binadamu wamekuwa wapumbavu na wakatili Kwa viumbe hivi

Wanyama hawawezi kuongea wala kujitetea, watatetewa na nani ?

1. Kuhusu suala la kuchinja.
Tunaweza kuwa tunahitaji kitoweo kutoka Kwa wanyama ila utaratibu wa kuchinja, ni kitendo cha kikatili Kwa kiumbe hai chochote,

Fikiria unainua kisu chenye makali, huku mnyama ukimfunga miguu na mdomo, akitokwa machozi na kutetemeka Kwa woga, unazingua kisu unatenganisha kichwa na kiwiliwili

Huu ni ukatili, uonevu na unyama mkumbwa Kwa kiumbe yeyote anayehitaji uhai kama wewe

Kuweka foleni. Hawa wanyama na kuwachinja Kwa zamu, huku ng'ombe akijua muda mfupi atachinjwa

Serikali kwanini usitafute hata dawa za kumlewesha au kumuuwa mnyama ili asishuhudie kuchinjwa kwake
1749490980273.jpg
 
Shua mkuu baadhi ya wanyama sehemu walizo chinjwa ama kufia wanyama wenzao wanatambua mfano ng'ombe pia punda karibu na machinjio usiku hakubali kupita. Pia wanyama wakikaa machinjioni masaa kadhaa huingiwa na stress na kupungua ubora wa nyama.
 
Back
Top Bottom