Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Hapo kwenye kuwa singo mtadanganyana tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mtu aliye singo kwa maana hana mtu labda kama singo artist
 
Hivi ulipata ?
manake na Mimi natafuta mzee mwenzangu tumalizie hizi Siku zilizobaki
Kama uko serious na makini tafuta dear, kuna walio serious humu pia.

Mimi soon ntatoa mrejesho.
 
Ukipata mwanaume humu halafu yakaja kukutokea ya "Shilole" usije kufungua uzi kulalamika humu.
Ahsante, ila hayo ya shilole yanaweza kutokea popote tu, au unamaanisha shilole alimpata huku huyo mumewe?
 
Mtaani ,kazini kwako hayupo mwenye sifa? Je kanisani,sokoni na kwenye mikusanyiko unayohudhuria hujamuona tu?
 
Mtaani ,kazini kwako hayupo mwenye sifa? Je kanisani,sokoni na kwenye mikusanyiko unayohudhuria hujamuona tu?
Ahsante kwa ushauri, ila naamini popote tu unaweza kumpata, nimeongeza wigo tu.
 
Miaka 28 na huna mtt je ni bikra? Kama siyo bikra ni lazma kwanza utuweke waz umetoa mimba ngapi?
Baada ya hapo unatakiwa upunguze kuwekea mashart wanaume wakat jua linaenda kuzama
 
Miaka 28 na huna mtt je ni bikra? Kama siyo bikra ni lazma kwanza utuweke waz umetoa mimba ngapi?
Baada ya hapo unatakiwa upunguze kuwekea mashart wanaume wakat jua linaenda kuzama
Ahsante kwa ushauri, ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…